Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mungu anajua mwisho wetu ndio maana alitueleza hata dalili zake.Nimekuuliza, Mungu si mjua yote? Na freedom aliyonipa ya kuchagua si inabidi ajue mwisho wangu ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anajua mwisho wetu ndio maana alitueleza hata dalili zake.Nimekuuliza, Mungu si mjua yote? Na freedom aliyonipa ya kuchagua si inabidi ajue mwisho wangu ni nini?
Kwa mujibu wako, dhambi ni nini?Unajua maana ya dhambi?
Kwahiyo unakubaliana na mimi nikisema anajua kuwa utamkosea hata kabla ya kukuumba na bado anakuumba ukosee akuadhibu?Mungu anajua mwisho wetu ndio maana alitueleza hata dalili zake.
Thibitisha Mungu yupo na hizi habari za kuwapo Mungu si hadithi za watu kujitungia tu.Kuna vitu viwili. Predestination na Foreknowledge.
Predestination, ni kwamba yeye ameweka plan toka mwanzo kwamba amekuumba na uwezo wa kumfuata yeye. Na ikiwa umefail basi amekuwekea njia ya kujirekebisha.
Foreknowledge, hapa ni Mungu anakuona wewe mwaka 2000, mwaka 2022 na mwaka 2040 (kwa maana ya past, present and future). Anaona unachofanya nyakati zote za maisha yako. Sio kwamba amekupangia au anacontrol unachofanya bali anakuona. Yeye hafungwi na muda.
Kwa hiyo akama alijua mwisho wa peter atanikosea atende madhambi, na bado akamuumba halafu unasema akampa uhuru ambao anajua fika atachagua kumkosea. Si ndio?Anajua mwisho wako. Na anakusaidia ufike kwenye huo mwisho. Uchaguzi ni wako kuufikia.
Hujathibitisha Mungu yupo.Kuumba ufanane vipi na lipi liwezekane au liwezekane ni uamuzi wake kama mmiliki wa ulimwengu.
Hajachelewa, anafanya kwa majira na nyakati alizoziweka.
Hapendi waangamie na ndio maana anaongea nao kila uchwao. Hata hapa anaongea na wewe.
Anajua mwisho wa kila mtu kwasababu anamuona anavyofanya maamuzi. Yeye anaona mwanzo hadi mwisho. Hapo anataka utumie uhuru wako kufuata anavyopenda.Kwa hiyo akama alijua mwisho wa peter atanikosea atende madhambi, na bado akamuumba halafu unasema akampa uhuru ambao anajua fika atachagua kumkosea. Si ndio?
Hivi unasoma unachokiandika kweli mkuu? Ashajua mwisho wako, sasa hayo maamuzi aliyokupa yatakusaidia nini wakati mwisho wake ashajua kuwa utaasi tu? Kuna mabadiliko anayategemea labda kwa mtu ambaye ashajua mwisho wake? Kama yakitokea basi atakuwa sio mjua yote.Anajua mwisho wa kila mtu kwasababu anamuona anavyofanya maamuzi. Yeye anaona mwanzo hadi mwisho. Hapo anataka utumie uhuru wako kufuata anavyopenda.
Nijibu kwanza swali langu halafu tuendelee...Kwa mujibu wako, dhambi ni nini?
atajua tuNimeshakujibu hili. Utajuaje kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ndio utakaopewa?
Naelewa sana. Anajua kwasababu yeye anakuona wewe unavyofanya tangu mwanzo hadi mwisho. Kwahiyo ukibadilika na kufuata predestination then atakuwa anakuona na kujua mwisho wako.Hivi unasoma unachokiandika kweli mkuu? Ashajua mwisho wako, sasa hayo maamuzi aliyokupa yatakusaidia nini wakati mwisho wake ashajua kuwa utaasi tu? Kuna mabadiliko anayategemea labda kwa mtu ambaye ashajua mwisho wake? Kama yakitokea basi atakuwa sio mjua yote.
Kwahiyo hana uhakika na mwisho wako ndio maana anahisi kuna uwezekano wa kunadilika?Naelewa sana. Anajua kwasababu yeye anakuona wewe unavyofanya tangu mwanzo hadi mwisho. Kwahiyo ukibadilika na kufuata predestination then atakuwa anakuona na kujua mwisho wako.