Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa yao kuu ni kukimbia maswali, huyu mdau(Kiranga) juzi juzi tu hapa nilibadili mtindo wa kujadiliana nae nikajifanya mjinga kila swali analo uliza namjibu, ila yeye maswali yangu hajibu, nikaona ananipotezea muda. Kingine anatumia sana fani ya "Logic" lakini hajui msingi wa fani hiyo ni dhaifu sana. Mimi huwa nawabana kwa kutumia hiyo hiyo logic yao, lakini wanakimbia.Mkuu afadhali wewe umeona. Jamaa ni mweupe kichwani japo anajiona anajua.
Katumia maneno: hisia na akili. Namuuliza hisia ni nini? Umewahi kuziona? Akili ni nini? Umewahi kuziona? Anaishia kukimbia maswali.
Anajua akiyajibu hayo amekamatwa kwasababu hivyo vyote vipo ila huwezi kuviona wala kuvishika. Unavithibitisha kwa kuona matendo au results zake.
Vivyo hivyo tunajua Mungu yupo japokuwa hatuwezi kumuona kwa macho na kumshika.
Tunajaribu kutumia his inconsistencies kumsaidia kufahamu kwamba ulimwengu wa roho upo na Mungu ni halisia. Ni katika hali ya kuelimishana mkuu.Come to Reply:
Kadari1, yaani baada ya kuona comment yake moja umeamua kuja na thread nzima nzima.
Why would you waste energy over something that you have no damn control.
Huwa nakuuliza nikuthibitishie mara ngapi ?Hujalathibitisha Mungu yupo.
Hujachambua hoja yangu yoyote.
Uko sahihi mkuu. Wamesoma vitabu kadhaa vya kupinga uwepo wa Mungu halafu wamepoteza uwezo wa kuona beyond the physical world. Maswali wanakimbia.Sifa yao kuu ni kukimbia maswali, huyu mdau(Kiranga) juzi juzi tu hapa nilibadili mtindo wa kujadiliana nae nikajifanya mjinga kila swali analo uliza namjibu, ila yeye maswali yangu hajibu, nikaona ananipotezea muda. Kingine anatumia sana fani ya "Logic" lakini hajui msingi wa fani hiyo ni dhaifu sana. Mimi huwa nawabana kwa kutumia hiyo hiyo logic yao, lakini wanakimbia.
Mimi humu ndani sijawahi kuona watu wajinga kuhusu Mola kuwazidi watu hawa Kiranga na mwenzake anajiita Scar.
Tunajaribu kutumia his inconsistencies kumsaidia kufahamu kwamba ulimwengu wa roho upo na Mungu ni halisia. Ni katika hali ya kuelimishana mkuu.
Comment yenyewe jamaa alisema alihonga demu.Come to Reply:
Kadari1, yaani baada ya kuona comment yake moja umeamua kuja na thread nzima nzima.
Why would you waste energy over something that you have no damn control.
Hujathibitisha hata mara moja.Huwa nakuuliza nikuthibitishie mara ngapi ?
Thibitisha kwamba Mungu yupo.Kwa aina hii ya majibu Sina shaka na destiny yako. Kuna siku utakumbuka kwamba Mungu aliendelea kukufundisha ukaamua kumpuuza.
Moderator msalimieni huyu.
Hii inshu ya akili inanikumbusha moja ya mjadala hot humu kuhusu "Akili ni nini?"Mkuu afadhali wewe umeona. Jamaa ni mweupe kichwani japo anajiona anajua.
Katumia maneno: hisia na akili. Namuuliza hisia ni nini? Umewahi kuziona? Akili ni nini? Umewahi kuziona? Anaishia kukimbia maswali.
Anajua akiyajibu hayo amekamatwa kwasababu hivyo vyote vipo ila huwezi kuviona wala kuvishika. Unavithibitisha kwa kuona matendo au results zake.
Vivyo hivyo tunajua Mungu yupo japokuwa hatuwezi kumuona kwa macho na kumshika.
Hiyo paragraph ya mwisho sasaUnajifanya una akili nyingi za kujenga hoja uchwara?
Wewe mzoga unayesubiri kifo unaweza kujadili nini kuhusu nguvu iliyoumba Mbingu na nchi?
Unapumua na kujamba, unatuchafulia oxygen ambayo hujui hata imetoka wapi halafu unajifanya una akili timamu?
Hatari Sana mkuu,yaani nadharia zao ni Nonsense tabu hata wanaamini hizo nadharia hawajui ziliko anzia ila Sasa ni wabishi kama washawahi kumwona huyo Mungu,Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.
Huhitaji kufikiri sana kuona hilo.
Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.
Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?
Hizo Hekaya Putin ana habari nazo?Inaelezwa kwamba Siberia upo mlango wa kuingilia kuzimu. Jaribu kufika pande hizo.
Ulitakiwa useme mapema kama hapakuwa na idhini. Umesubiria baada ya kushindwa hoja ndio unatoa matusi.Thibitisha kwamba Mungu yupo.
Hao Moderator waambie wafute uzi mzima maana unaparatia watu bila idhini zao.
yaani baba unaona mwanao mvuta bange anapanga mipango ya kuuza nyumba unakausha tu,hati ya nyumba inachukuliwa,madalali wanaletwa pamoja na mteja hatimaye nyumba inauzwa wewe upo tu huchukui hatua eti kisa matokeo ya huo Ujinga mwanao atalala nje baada ya nyumba kupigwa BeiAlimwona akifanya mipango na ameweka siku ya yeye kuvuna matokeo ya uamuzi wake.
Mental disorder zitawaua Kwa kufikiria vitu ambavyo sio halisia!Hapa jaribu kumuuliza huyo Putin.
Huo mfano wako ni hafifu. Tafuta mfano imara.yaani baba unaona mwanao mvuta bange anapanga mipango ya kuuza nyumba unakausha tu,hati ya nyumba inachukuliwa,madalali wanaletwa pamoja na mteja hatimaye nyumba inauzwa wewe upo tu huchukui hatua eti kisa matokeo ya huo Ujinga mwanao atalala nje baada ya nyumba kupigwa Bei
Hivi Ina make sense?