Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Come to Reply:

Kadari1, yaani baada ya kuona comment yake moja umeamua kuja na thread nzima nzima.

Why would you waste energy over something that you have no damn control.
 
Mkuu afadhali wewe umeona. Jamaa ni mweupe kichwani japo anajiona anajua.

Katumia maneno: hisia na akili. Namuuliza hisia ni nini? Umewahi kuziona? Akili ni nini? Umewahi kuziona? Anaishia kukimbia maswali.

Anajua akiyajibu hayo amekamatwa kwasababu hivyo vyote vipo ila huwezi kuviona wala kuvishika. Unavithibitisha kwa kuona matendo au results zake.

Vivyo hivyo tunajua Mungu yupo japokuwa hatuwezi kumuona kwa macho na kumshika.
Sifa yao kuu ni kukimbia maswali, huyu mdau(Kiranga) juzi juzi tu hapa nilibadili mtindo wa kujadiliana nae nikajifanya mjinga kila swali analo uliza namjibu, ila yeye maswali yangu hajibu, nikaona ananipotezea muda. Kingine anatumia sana fani ya "Logic" lakini hajui msingi wa fani hiyo ni dhaifu sana. Mimi huwa nawabana kwa kutumia hiyo hiyo logic yao, lakini wanakimbia.

Mimi humu ndani sijawahi kuona watu wajinga kuhusu Mola kuwazidi watu hawa Kiranga na mwenzake anajiita Scar.
 
Tunajaribu kutumia his inconsistencies kumsaidia kufahamu kwamba ulimwengu wa roho upo na Mungu ni halisia. Ni katika hali ya kuelimishana mkuu.
 
Sifa yao kuu ni kukimbia maswali, huyu mdau(Kiranga) juzi juzi tu hapa nilibadili mtindo wa kujadiliana nae nikajifanya mjinga kila swali analo uliza namjibu, ila yeye maswali yangu hajibu, nikaona ananipotezea muda. Kingine anatumia sana fani ya "Logic" lakini hajui msingi wa fani hiyo ni dhaifu sana. Mimi huwa nawabana kwa kutumia hiyo hiyo logic yao, lakini wanakimbia.

Mimi humu ndani sijawahi kuona watu wajinga kuhusu Mola kuwazidi watu hawa Kiranga na mwenzake anajiita Scar.
Uko sahihi mkuu. Wamesoma vitabu kadhaa vya kupinga uwepo wa Mungu halafu wamepoteza uwezo wa kuona beyond the physical world. Maswali wanakimbia.
 
Come to Reply:

Kadari1, yaani baada ya kuona comment yake moja umeamua kuja na thread nzima nzima.

Why would you waste energy over something that you have no damn control.
Comment yenyewe jamaa alisema alihonga demu.
 
Kwa aina hii ya majibu Sina shaka na destiny yako. Kuna siku utakumbuka kwamba Mungu aliendelea kukufundisha ukaamua kumpuuza.

Moderator msalimieni huyu.
Thibitisha kwamba Mungu yupo.

Hao Moderator waambie wafute uzi mzima maana unaparatia watu bila idhini zao.
 
Mkuu afadhali wewe umeona. Jamaa ni mweupe kichwani japo anajiona anajua.

Katumia maneno: hisia na akili. Namuuliza hisia ni nini? Umewahi kuziona? Akili ni nini? Umewahi kuziona? Anaishia kukimbia maswali.

Anajua akiyajibu hayo amekamatwa kwasababu hivyo vyote vipo ila huwezi kuviona wala kuvishika. Unavithibitisha kwa kuona matendo au results zake.

Vivyo hivyo tunajua Mungu yupo japokuwa hatuwezi kumuona kwa macho na kumshika.
Hii inshu ya akili inanikumbusha moja ya mjadala hot humu kuhusu "Akili ni nini?"

Nafatilia.
 
Unajifanya una akili nyingi za kujenga hoja uchwara?

Wewe mzoga unayesubiri kifo unaweza kujadili nini kuhusu nguvu iliyoumba Mbingu na nchi?

Unapumua na kujamba, unatuchafulia oxygen ambayo hujui hata imetoka wapi halafu unajifanya una akili timamu?
Hiyo paragraph ya mwisho sasa
Hahaaaaaaa
 
Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.

Huhitaji kufikiri sana kuona hilo.

Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.

Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?
Hatari Sana mkuu,yaani nadharia zao ni Nonsense tabu hata wanaamini hizo nadharia hawajui ziliko anzia ila Sasa ni wabishi kama washawahi kumwona huyo Mungu,
Utasikia oooh Hilo ni swala la Imani yaani Mungu muweza wa yote anashindwaje kujidhihirisha pasipo shaka Kwa maelfu ya miaka ambayo waumini wake wameanza kumwabudu Huko wakiwa Hawana uhakika nae pamoja na mikanganyiko kibao ya kiimani na madhehebu Yao chungu mzima, huyo Mungu ana kiburi na jeuri ya Hali ya juu kajificha mafichoni tangu nadharia zake zianzishwe ila still wafuasi wake hawakomi kumfuata
Hahahahahah inafurahisha Sana aisee!
 
Thibitisha kwamba Mungu yupo.

Hao Moderator waambie wafute uzi mzima maana unaparatia watu bila idhini zao.
Ulitakiwa useme mapema kama hapakuwa na idhini. Umesubiria baada ya kushindwa hoja ndio unatoa matusi.

Matusi yako yamethibitisha akili yako ilivyo.
 
Alimwona akifanya mipango na ameweka siku ya yeye kuvuna matokeo ya uamuzi wake.
yaani baba unaona mwanao mvuta bange anapanga mipango ya kuuza nyumba unakausha tu,hati ya nyumba inachukuliwa,madalali wanaletwa pamoja na mteja hatimaye nyumba inauzwa wewe upo tu huchukui hatua eti kisa matokeo ya huo Ujinga mwanao atalala nje baada ya nyumba kupigwa Bei
Hivi Ina make sense?
 
Huo mfano wako ni hafifu. Tafuta mfano imara.
 
Back
Top Bottom