pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Mwendawazimu kama KirangaNi mwendawazimu pekee ndiyo atapinga uwepo wa Mungu.
Hakuna cha fulani ndio wanatumia akili, kila siku watu hubadilisha mitazamo kama atheist anakuwa agnostic na agnostic anakuwa theist na kinyume chake ni mitazamo tu. Kuwa atheist au agnostic nako unaenda KULAZIMIKA kukataa uwepo wa vitu vingi sana zaidi ya Mungu/miungu tu ambapo ni kufuata mkumbo pia.Ili mtu afikie hatua ya hayo makundi mawili ujue ameanza kutumia akili binafsi kufikili iwe kafikia itinisho au la bado anajitafuta ...ndiyo maana nikawaelezea kuwa hao wote ni kundi linalo jaribu kutumia akili tofauti na kundi la kwanza wao kundi la kwanza wanafuata mikumbo tu kama nyumbu ...ndiyo maana nawaita wapumbavu sana.
Umesoma haya maneno 👉(iwe amefikia itinisho au la bado anajitafuta) umeyaelewa maana yake ?Hakuna cha fulani ndio wanatumia akili, kila siku watu hubadilisha mitazamo kama atheist anakuwa agnostic na agnostic anakuwa theist na kinyume chake ni mitazamo tu. Kuwa atheist au agnostic nako unaenda KULAZIMIKA kukataa uwepo wa vitu vingi sana zaidi ya Mungu/miungu tu ambapo ni kufuata mkumbo pia.
Sio kweli kwamba agnostic anaamini Mungu anaweza kuwepo au asiwepo, tofauti ya atheist na agnostic ni hayo madai ya atheist kujifanya anajua kiuhakika kuwa hakuna Mungu wakati agnostic anaona hakuna namna ya kuweza kujua kiuhakika kuwa Mungu yupo au hayupo.Agnostic haamini kwamba Mungu yupo au hayupo. Anaamini inawezekana Mungu akawepo au asiwepo.
Atheist hatuamini kwenye imani yeyote ile ya Mungu au miungu. Tunapinga uwepo wa Mungu na miungu.
Atheists hatuamini kwenye kuamini.
Hatuhitaji kuamini, Tunahitaji kujua.
Do you get the point?
Huwezi kusema kuwa atheist au agnostic ndio kujitafuta kwa sababu hata wenye kuamini Mungu sio wote wapo sawa wapo wenye mitazamo tofauti kwa sababu ya kujitafuta, sasa wewe wenye kuamini Mungu unaona wote ni wamoja na ni wapumbavu halafu hao waliyokimbilia kwenye atheism na agnosticism ndio wanatumia akili na wanajitafuta wakati kiuhalisia wamejitupa huko.Umesoma haya maneno 👉(iwe amefikia itinisho au la bado anajitafuta) umeyaelewa maana yake ?
Wewe kichwa chako kina akili ? Rudi nyuma kasome nilicho andika ..kuna makundi mawili ya wanao amini uwepo wa mungu ...rudi nyuma kasome kwanza siyo unadandia tu mijadara usiyo jua imetokea wapiHuwezi kusema kuwa atheist au agnostic ndio kujitafuta kwa sababu hata wenye kuamini Mungu sio wote wapo sawa wapo wenye mitazamo tofauti kwa sababu ya kujitafuta, sasa wewe wenye kuamini Mungu unaona wote ni wamoja na ni wapumbavu halafu hao waliyokimbilia kwenye atheism na agnosticism ndio wanatumia akili na wanajitafuta wakati kiuhalisia wamejitupa huko.
UHURU JR Soma kuanzia hapa nimeeleza yote unayo yasemaHiyo kisaikolojia maana yake ni kwamba Awa amini kile wanacho.kiamini..
KUNA MAKUNDI MATATU
1)WANAO AMINI MUNGU YUPO
2)WASIO AMINI KUWA MUNGU YUPO
3)WANAO JUA KUWA MUNGU YUPO...
Katika haya makundi 3 kundi la wapumbavu ni ilo la kwanza na kundi la pili ni kundi la watu walio anza kutumia akilli zao vizuri ...na kundi la 3 nilile watu wenye akili kuliko kundi la 1 na la 2
Hoja haijengwi kwa kusema 'wenzetu wanafanya, basi na sisi tufanye,' bali kwa kuleta uthibitisho wa wazi wa msimamo wako. Je, unaweza kuthibitisha kwa mantiki kuwa Mungu hayupo badala ya tu kusema kwamba kuna mafundisho yanayodai yupo?Kazi ya kupinga uwepo wa Mungu ni kazi endelevu.
Kila siku wanazaliwa watoto wapya wanapewa mafundisho ya uongo kwamba Mungu yupo.
Sasa tutaridhika vipi tukae kimya ikiwa uongo huu unafundishwa kila siku?
Ulishaona makanisa yanaridhika yanasema tusifundishe tena watu habari za uongo huu wa kuwapo Mungu?
Ulishaona misikiti inaridhika na kusema sasa tumeridhika kusema habari za uongo kwamba Mungu yupo?
Sasa kama hawa wasema uongo wa makanisani na misikitini na wengine wengi kama wao hawaridhiki kusema uongo, unapata wapi uhalali wa kutuambia sisi tunaonyoosha mambo na kuhoji uongo huo turidhike?
Jibu hoja, acha kushambulia watoa hoja.
Kushambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja ni logical fallacy.
Ni tabia ya watu wasio na hoja.
Ni ad hominem logical fallacy.
Unajua logical fallacy ni nini?
Umempasua au tumekupuuza huna hojatumeamua kukalia chimyaaaKwenye nyuzi zangu alijitokeza tokeza, "nikampasua kwa moto na nyundo ivunjayo miamba vipande vipande huyo shetani aliye nyuma yake." Amechukia sana mpaka ameamua kuniweka kwenye ignore list 🙂. Namuombea Mungu amhurumie na kumuokoa. Tumsamehe tu bure, hajui alitendalo. Hata sisi kabla Yesu hajatuokoa, tulikuwa kama yeye.
Na wewe tumia nyundo hii:
Yeremia 23:29 BHN
Neno langu ni kama moto; ni kama nyundo ipasuayo miamba vipandevipande.
Unasema nini wewe Bibi 🤣🤣🤣 huyu Ai ameslimu msikiti wa wapi ?Wajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.
Unasema hujui watu walitoka wapi, lakini unasema unajua Mungu siyo chanzo chao. Hii ni argument from ignorance – unadai kitu fulani si sahihi pasipo kutoa uthibitisho wa mbadala. Kama hujui jibu sahihi, kwa mantiki huwezi kuwa na uhakika kwamba Mungu siyo chanzo. Unawezaje kuwa na uhakika kuwa Mungu hayupo kama hujui chanzo cha uhai?Pili, kwa kujibu swali la "watu walitoka wapi", naweza kuwa sina jibu kamili la watu walitoka wapi lakini nikajua kuwa hawakuumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Unapinga wazo la Mungu kwa sababu halina uthibitisho wa moja kwa moja, lakini unakubali wazo la evolution hata kama unasema ni gumu na lina controversy. Kwa nini unapendelea shaka upande mmoja lakini si mwingine?"Swali la watu walitoka wapi ni kubwa, ni gumu, linahitaji maelezo mengi, maelezo ya kitaalamu, utaalamu ambao pengine sina, na hata ule ambao ninao mwingi una controversy, na mimi sipendi kujadili masuala argumentative ambayo siwezi kuyatatua kwa truth table.
Nilisema tokea mwanzo kuwa wanao amini katika mungu wapo makundi mawili wenye kutumia akili kufikia imani hiyo na wasio tumia akili ...nikasema hao ndiyo kundi la 1 na la 3 ..kisha nikaja kwa hao wa kundi la 2 wasio amini ...wewe umekuja kunikosoa kuwa hata wanao amini wapo wanao tumia akili jambo ambalo mimi pia nimelielezea vizuri tuKipi kinafanya uone sijakuelewa?
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.Sio kweli kwamba agnostic anaamini Mungu anaweza kuwepo au asiwepo, tofauti ya atheist na agnostic ni hayo madai ya atheist kujifanya anajua kiuhakika kuwa hakuna Mungu wakati agnostic anaona hakuna namna ya kuweza kujua kiuhakika kuwa Mungu yupo au hayupo.
Naunga mkono hojaTunawaonesha upande mwingine wa sarafu.
Tunawaonesha vitu ambavyo hamuoni.
Point uliyoiruka ni kwamba agnostic wanasema hakuna njia ya kuweza kujua kuwa Mungu yupo au hayupo, kwahiyo theist akisema Mungu yupo agnostic atahoji amewezaje kujua? Na atheist akisema huyo Mungu hayupo pia agnostic atahoji amewezaje kujua?Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Hakuna uhakika, ushahidi wala uthibitisho wowote ule wa kwamba Mungu yupo.
Hivyo Mungu hayupo.
Sasa wewe unakataa kwamba Mungu hayupo, Halafu umeshindwa kumthibitisha yupo.
Sasa unataka nini zaidi?