Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

We jamaa ni ovyo kabisa, halafu usitake mawazo yako yawe ndo mipango ya Mungu, Mungu hashindwi na angetaka 2015 rais awe mwanamke hakuna ambaye angeweza kuzuia....Mipango ya Mungu haizuiliki,
Usimzungumzie Mungu kama unamzungumzia mtu.
Rais ajaye baada ya mama Samia atakuwa mwanamke pia.
 
No mama Samia ataongoza mpaka Mwaka 2035.Baada ya hapo chadema itashinda.raisi Huyo nando kristo yesu aliyerudi mara ya pili. Dunia yote itakja kuwa chini yake hatsa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…