Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Wakati Simba ikijipigia Ndanda, Mbao Fc nao wanajipigia tu Yanga kila msimu.
 
mbao kuna mjinga ametolewa kwa default 2 yellows
 
Chozi limenitoka yaani hii team Sijui imekula maharagwe ya wapi...... Jaman yanga kwa nini lakini daaaaah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Na kama kawaida Refa keshawapunguzia mzigo, Mbao wamebaki kumi.
 
Yanga pamoja na kwenda kwa Ndege bado wamelambishwa mchanga!!!!.......hatariiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…