Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Badala ya kuomba mfungwe mnataka tena kujitafutia fedheha ya 4g ndani ya mwezi mmoja.Nyie watu nyie mbona mnajitoa ufahamu?
 
Kosakosa nyingine tena...this time ni Haruna Niyonzima.
 
hahahahah
 
Dakika 45 tayari,bado tunasubiri kipyenga cha muamuzi.
Bado ni 1-0,mbao wakiongoza.
 
hahahah Yanga wakishinda labda refa awabebe wamechoka vibaya mno mno
 
Daaaaaamn! Mbao wamepata goal hapa.
Dakika ya 26 Mbao 1-0 Yanga.
Andrew Vincent Dante {Yanga} kajifunga.

Dada huo mpira ulikuwa unaangalia peke yako au? Naona umechanganyikiwa na wala Andrew Vincent Dante hakujifunga bali Goli limefungwa na ' Striker Force ' wa ' Kutukuka ' aitwae Bernard. Punguza ' uwongo ' tafadhali. Kweli ' Ubao ' mmoja umeshakulevya Dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…