Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Yanga wanafanya mabadiliko hapa. Anatoka Makapu anaingia Godfrey Mashuiya.
 
Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......
 
Bakuli fc wamechoka sijui hata kama leo wamekula teh teh kibubu kimejaa magwala
 
Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante idawa.
 
Hii sub ya Godfrey Mashuiya inaelekea kuzaa matunda.
Kijana yuko vizuri,mashambulizi makali yanaelekezwa golini mwa mbao hapa.
 

Vipi hakukutembezea ' Ubao ' wake? Shemela wangu wa ukweli The bold usiwe na wasiwasi nataniana tu na Dada yangu wa ukweli humu JF Nifah hivyo usije ukaona ni kweli halafu ukamuacha bure Mtoto wa Kipare huyo.
 
Goli tumejifunga katika harakati za kuokoa Dante.

Hebu punguzeni basi ' Urongo ' wenu humu wana Yanga FC. au ' Ubao ' mmoja huo umeshawalevya na sasa mmechanganyikiwa hadi hamjui nani kawafungeni hiko Kimoko? Goli kafunga Mshambuliaji ' machachari ' kabisa aitwae Bernard period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…