Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

mikia imenyanyuka leo, mnatoa mapovu meng mnatamani wa kimataifa wateleze ili mpate mteremko!
 
Shuti kali la Godfrey Mwashuiya limegomba mwamba...daaaaah!
 
Ndio,mimi ni Yanga damu.
Unione wa maana au sina maana it's non of my business mkuu.
Imenibidi nikae pembeni mkuu maana si kwa ukali huu.Anyway mtashinda hii mechi mkuu.
 
Mbao FC bhana.
Hivi finali inakuwa Simba na Mbao kweli!!
Mbao acheni utoto huo bhana.
Anyways, it's not yet over until it's over.
 
Jibu mubashara. Msimamo muhimu sana.
Sasa ulitegemea nikujibu nini? Siwezi kumuona mtu hana maana kisa hashabikii timu ninayoishabikia mimi,ni zaidi ya uwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…