Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Huwa tunasema Yanga si timu ya ushindani. Hizo mbao tutazipasua kama karatasi.
 
Mkuuu pole bhana
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.

Hongereni mbao,am out.
 
Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.

Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa

Viva Yanga [emoji123]

Mkuu naomba matokeo
 
ha ha haha hq ha
 
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.

Hongereni mbao,am out.
Pole sana shemeji duuh..! Mimi soka la bongo lilisha nishinda kitambo. Nafurahia hapa ushindi wa 3-0 wa chelsea yangu jeshi langu la blue.[emoji125][emoji460] [emoji125] [emoji460] [emoji125] [emoji460]
 
Poor tff

Hatupangiwi

Tunamipango yetu..na tulipanga mapema tu haya..kunamtu hutakiwi apande ndege[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Cc nifah
 
Back
Top Bottom