Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Dakika zimebaki ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nipo mkuu.Usinikimbie leo
Dakika hizi kuku hamezi punje ya ufutaBado nipo mkuu.
Yanga kadondokewa na mbao kafa tayari mwanza nzima shereheBado nipo mkuu.
Tumewatanguliza ngoja uone what next
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.
Hongereni mbao,am out.
Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.
Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa
Viva Yanga [emoji123]
ha ha haha hq haKama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.
Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa
Viva Yanga [emoji123]
Mmecheza ovyo mkuu...Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.
Hongereni mbao,am out.
Pole sana shemeji duuh..! Mimi soka la bongo lilisha nishinda kitambo. Nafurahia hapa ushindi wa 3-0 wa chelsea yangu jeshi langu la blue.[emoji125][emoji460] [emoji125] [emoji460] [emoji125] [emoji460]Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.
Hongereni mbao,am out.
Sawa mwanamichezo.Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.