Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Muzee baba free JF ipo mbona uliza uambiwe na bado JF haijafa. Hebu ondoka tuone itakavyokufwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee anachimba biti, yeye ndiyo anayeiweka JF mjini, akitoka JF inakufa kifo cha mende....
Mello kuna silent partner, promoter, donor wa JF huku 😀 .

Raha ya JF, kujimwambafai kwa vidole gumba..

Everyday is Saturday......................😎
 
Kwani takwimu zinasemaje hadi hivi tunavyoongea?
Nani anaua watu wengi kwa siku au kwa dakika?
Malaria ?
Saratani
Corona
Kisukari
Kujinyonga
Ajali
Ukimwi?
Etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya uoga juu ya kirusi cha Corona alichosema mtoa mada, watu wana hamaki, mpaka akili inashindwa kufanya kazi vizuri wanatwangana makonde kugombea toilet papers na wewe unapandisha jazba mpaka unapitiliza yaan wewe ndio unamuweka Max mjini na wewe ukitoka basi jf inakufa hahaha,

Bro sema nini, hivyo virus wala haviui, ukijisikia tu hali ya mafua wewe vuta ugoro chafya zako tatu tu kirusi kimeruka chini unaendelea na shughuli zako.
 
Ni kweli kabisa watu wengi watakufa kwa hofu sio Corona. Niwaambie kitu inawezekana Corona virus ipo Tanzania siku nyingi na wote tunayo lakini tuliijua kama mafua sasa atakayeambiwa anayo chini.

Tulizeni akiri tuone nini tuanze nacho kama ni mask[emoji83] au dawa. Tuliambiwa Tanzania haina uwezo wa kutibu Corona ispokua kuzuia lakini sasa naona ata kuzuia tumeshindwa alafu waziri anaendelea kukalia kiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna tiba ya Corona.

Corona ipo kama mafua na influenza.

Ukiipata itaisha tu yenyewe.

Watu wengi huwa hawajui kwamba mafua hayana tiba.

Dawa zilizopo huwa ni za kumpa mtu afueni kwa kupunguza makali ya dalili zake [kukohoa, kupiga chafya, homa, na kadhalika].

Na kwa vile dalili za mafua, flu, na corona ndo zilezile, nahisi kutakuwepo na ‘misdiagnosis’ nyingi sana.

Sasa hivi mtu hata ukipata mafua tu ya kawaida, itasemwa kuwa una corona.
 
wewe ni mbwa koko tufautisha hoja za facebook , instagram na jamiiforum ,twitter ndio utajua nini na maanisha alafu jiulize tena kwa nini facebook wamewaka free data
Aisee kufikiahapa ndipo nimegundua hujui hata unalosema, yani unataka kusema FB wameweka free data kisa ni ya watoto. Mkuu nachelea kusema hauna akili wala ujualo kama unavyodhani
 
Nashangaa sana hawa wazungu walivyo waoga wananunua mikate,toilet paper ect wnaweka stock wakati kunakirusi kinaitwa sars Virus iliua sana watu kuliko Corona
 
Nani mtoto hapa?
Tafadhali mtake radhi Ngabu, umemkosea sana.
 
Tz kuna virusi vinaitwa policcm

Hivyo ni hatari kuliko hata virus vya corona
 
Wewe kazini waenda?
Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…