Kuna magonjwa hatari (yanaua) kuliko korona inavyoua, kuna magonjwa tiba yake ni ngumu mno na ukiyapata huinuki kama Ebola.
Malaria huua maelfu kila siku, sukari, Blood pressure huua makumi elfu kila siku. Je, corona ni mradi mpya ndio maana inakuzwa sana, au kwakuwa imeanzia huko ng'ambo?
Je, ni hofu ya siku za mbeleni? Kama mgonjwa wa Corona anaweza kupona kwa tiba ya kawaida tu bila shaka mwarobaini wake utapatikana soon.
Au wameleta makusudi ili kupunguza idadi ya watu kulingana na rasilimali na kubalance nature? kwamba washajua mission nzima that's why wanaweka watu tension ya hali ya juu?
KUSINI mwa Jangwa la Sahara UKIMWI na malaria vinaua watu kikatili hao wazungu wanachukulia simple tu kama vile wanaokufa ni mbwa badala yake wanaleta misaada ya kupambana na hayo majanga na si kukomesha!
People dying daily in Africa for hunger, malaria and HIV but white people and our black leaders take it easy. Nani yuko nyuma ya corona?.
Note: Dunia inaendeshwa na watu wachache waliojificha na wenye akili kubwa.