Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Korona ni janga aiseee

Waswahili tuombe Mungu isituathiri kama inavyowafanya watu wa ulaya huko

Ninyi wabongo mnazusha mambo mengi tu mara oooh mmarekani ndio aliitengeneza ili kumdhoofisha mchina, lakini kwa sasa korona inamtafuna mmarekani na nchi washirika wake bila huruma
Korona ni jabari kweli, linatesa na unakufa
 
Nipo kwenye daladala ghafla macho yanawasha kinyama, naogopa kujikuna hadi nifike sehemu ninawe mikono.... haya maisha haya..!!
 
Upo sawa but corona inaonekana ni tishio kwasababu inauwa watu wengi kwa muda mfupi.
lkn pia ni muhimu ku tek note kwamba kuna magonjwa ya kikanda kama ebola/ugonjwa wa watu weusi hususan bara la Africa hasa Africa ya kati....
corona una cut accross/ugonjwa wa dunia
 
Watanzania kwa kupenda kuiga. Sasa mtu anaenda kununua pedi kwa foleni hivi siku ukizuka vita ya dunia si tutaenda kununua hata nyembe za kukatia kucha wakati wa vita.

Presha ya Corona tunaitengeneza wenyewe na kwa hili linaenda kupandisha bei ya bidhaa kwa hamaki za kijinga.
 
waache mambo ya uzungu super maketi unanunua nini cha maana? wakat ukinunua gunia lako la mahind waenda kusaga unga wahifadh ndani,maharage tandika hapo,mchele na ndoo ya mafuta chumvi sukari na ngano plus sabuni habari imeisha...hzio tailet pepa watanywea chai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…