Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Uingie mpaka chumbani kwa PK? Acheni utani jamani. Huyo Mr Slim anavyojilinda huyo??/!!!!! Visit Rwanda one day.
 

Jeshi letu ni la wananchi,haliwezi kushiriki upumbavu Hata siku moja! Lina shughulika na migogoro na matatizo ya ukweli, sio kuteka raia wake
 
Jeshi letu ni la wananchi,haliwezi kushiriki upumbavu Hata siku moja! Lina shughulika na migogoro na matatizo ya ukweli, sio kuteka raia wake
Kweli kabisa mkuu, kwasababu kipindi kile cha gesi Mtwara wale waliokuwa wanavamia nyumba za watu na kudhalilisha wanawake walikuwa ni green guard walioiba sare za kijeshi.
 
Uingie mpaka chumbani kwa PK? Acheni utani jamani. Huyo Mr Slim anavyojilinda huyo??/!!!!! Visit Rwanda one day.

Hajawahi kufika Kigali huyo ndio maana anajiongelea kirahisi rahisi tu kumteka PK.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Freed Freed we baba wee! Hili gogo ulilotutwisha kitambo hicho ni zito mno baba tutue tafadhari mkuu!
 
Labda!lakini mi nilishangazwa na makomando wetu wakivunja matofali kwa kichwa na nondo!nikaona ule ni ushamba wa siasa zetu hasa jiwe!!jiwe aliwezaje kuwashawishi kufanya mambo ya ajabu vile?walitia aibu taifa siku ile!!!wangenyesha zana za kisasa na technology ya kupambana na adui!!!JIWE ALIJIMWAMBAFAI KWA KUTUAIBISHA SIKU ILE!!!!
 
Kauzi kafupiiii af bonge la content naamin tu kwani sh ngap ??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
LABDA!Lakini nilihisi aibu siku ile makomando wetu wakivunja tofali kwa kichwa na kupinda nondo!niliona ni udhalilishaji sana!!Adui gani utamvunja kama tofali?kumpinda kama nondo?jiwe anadhalilisha jeshi letu katika zama sayansi na teknolojia yeye akaleta maonyesho ya kijima kabisa!!Kule ni kujimwambafai kijinga!!!
 
Brussels ya mburahati??



[QUOTE="Malcom Lumumba, post: 30661807, member: 94736 najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.[/QUOTE]
 
KAGAME HUYU AMBAYE ANASHINDWA KULALA USINGIZI SAWASAWA KWA KUWAOGOPA WAASI??...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu harakati zenu za kumsapoti kachero mbobezi kuchukua fom ya uraisi inaendelea?Mwambie garethbale aendeleze ule uzi wa mzee kikwete alimtuma membe kwa nyerere!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…