S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,713
Anakuwa na kichwa kigumu maana anafikiria kama huu ndio uwezo tulionao, kwanini watu wasiojulikana wanatushinda?!Usiwe na kichwa kigumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuwa na kichwa kigumu maana anafikiria kama huu ndio uwezo tulionao, kwanini watu wasiojulikana wanatushinda?!Usiwe na kichwa kigumu
Watutsi hao hawataki kuguswa, wala haelewi cha kuchangia ngoja M7 atawakomesha humu wanatushinda kwa matutsiWadau mbona matusi wajemeni?
Uingie mpaka chumbani kwa PK? Acheni utani jamani. Huyo Mr Slim anavyojilinda huyo??/!!!!! Visit Rwanda one day.Halo JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.
Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.
Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.
Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.
Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.
Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Na ulinzi wake wote jua aliwahi kutekwa na mashujaa wa vita.Uingie mpaka chumbani kwa PK? Acheni utani jamani. Huyo Mr Slim anavyojilinda huyo??/!!!!! Visit Rwanda one day.
Naam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
Kweli kabisa mkuu, kwasababu kipindi kile cha gesi Mtwara wale waliokuwa wanavamia nyumba za watu na kudhalilisha wanawake walikuwa ni green guard walioiba sare za kijeshi.Jeshi letu ni la wananchi,haliwezi kushiriki upumbavu Hata siku moja! Lina shughulika na migogoro na matatizo ya ukweli, sio kuteka raia wake
SawasawaJeshi letu ni la wananchi,haliwezi kushiriki upumbavu Hata siku moja! Lina shughulika na migogoro na matatizo ya ukweli, sio kuteka raia wake
Uingie mpaka chumbani kwa PK? Acheni utani jamani. Huyo Mr Slim anavyojilinda huyo??/!!!!! Visit Rwanda one day.
Ndyo hivyo sasa, wababe walimteka ila huruma tu ilimwokoa.Hajawahi kufika Kigali huyo ndio maana anajiongelea kirahisi rahisi tu kumteka PK.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndyo hivyo sasa, wababe walimteka ila huruma tu ilimwokoa.
Ana ulinzi mkali sana Kagame lakini sio kitu kwa makomando wa Jwtz na TISS.Uzuri ulinzi wa Kagame ni kama wa ben saanane,hahah.
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaaaMuuza kahawa toa michapati yako hapa, uliona wapi kahawa ikanyweka na chapati?
Leta kashata.
Tatizo ni simu yake lakini kwann asi edit upya
Ngoja niwatueFreed Freed we baba wee! Hili gogo ulilotutwisha kitambo hicho ni zito mno baba tutue tafadhari mkuu!
Mkuu harakati zenu za kumsapoti kachero mbobezi kuchukua fom ya uraisi inaendelea?Mwambie garethbale aendeleze ule uzi wa mzee kikwete alimtuma membe kwa nyerere!!!KAGAME HUYU AMBAYE ANASHINDWA KULALA USINGIZI SAWASAWA KWA KUWAOGOPA WAASI??...
😂😂😂😂😂😂