Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaendelea WhatsApp huko😁😁Enheee ikawaje?
😂😂😂😂demu mwenyewe inaonekana foo kabisa, ishia hapo hapo. Kunywa bia.
EnheeeYule dada anasema kipindi cha nyuma alipata kazi Hotel moja ya kitalii Zanzibar (alinitajia jina ila sitoitaja kwa sababu flani) anasema alipokuwa anafanya kazi alipanga nyumba mtaani kwa mzee mmoja aliyekuwa na wake wawili.baadaye yule mzee alianza kuonesha interest kwa bidada.
Akipewa kodi anakataa anasema binti akae tu wataelewana.siku moja akamwambia wakae aongee naye wapeane ushauri.shida ikawa wataonana wapi kwa hali ya zanzibar si kama bara.na yule alikuwa mtu mzima kiasi.
Baada ya muda siku moja anatoka kazini akakuta mzee anamsubiri njiani.yule mzee akamwambia kuna sehemu wataweza kaa enda ongea ni nyumbani kwa rafiki yake. Yule dada akawa ana wasiwasi kuwa ni jambo gani nyeti hivyo.
Ijumaa iliyofuata alimwambia atakuja chukuliwa na taxi kazini huyo mwenye taxi atampeleka hapo atakapokuwepo.
Kweli mida ya saa kumi na nusu jioni ikaja gari.yule dada aliambiwa anaitwa getini.kwenda akaoneshwa taxi.akaenda ndo kuambiwa ametumwa mzee Kheri apelekwe home kwake.hao wakaanza safari haikuwa mbali sana.yule dada anasema ilikuwa wakitoka nje ya hotel wanavaa baibui.so akawa ndani ya baibui hao mpaka kwa mzee kheri.
Kule alikaribishwa na wamama wawili ambao walimpeleka sebuleni ambako alimkuta yule mzee na mzee mwingine mwenyeji.baadaye yule mwenyeji akaondoka na kuwaacha wao wawili.
Ndo yule mzee kumwambia yeye alitaka mwoa.alitaka awe mke mdogo.yule dada alishtuka sana..hakutegemea maana alikuwa anamwona yule kama mzee wake.waliongea mengi but mdada alikataa kabisa kuwa hawezi.yule mzee alimwambia akimwoa atamwachisha kazi na atampa mshahara aliokuwa akipata pale hotelini.
Yule dada hakuelewa maana mara zote alikuwa akimwona yule mzee anashinda home au kibarazani akicheza bao na karata.hakuelewa angepata wapi hizo pesa. Lakini ndipo alijiuliza kweli yule mzee alikuwa anaweza lisha familia vizuri.alikuwa akisikia mzee mwenyewe akisema ana watoto Oman na Saud Arabia.
Mdada alikataa kabisa.mzee akamwambia anampa siku 14 afikirie.ijumaa ya pili ya tatu baada ya ile ampe jibu.
Yule dada anasema siku hiyo alirudi home anawaza sana.hakuwahi tegemea.maana ni mdada mrembo sana aje aolewe na mzee. Alishangaa sana.
Kesho yake aliporudi kazini akawaambia wenzie anataka hama pale anapoishi.kweli akatafutiwa nyumba baada ya siku nne akapata.siku hiyo akarudi home amekusanya pesa ya miezi kama 4 ambayo yule mzee alikataa kodi.akamfuata akaenda mwambia kuwa anahama.
Anasema yule mzee alisikitika sana mpaka akatokwa na machozi.ila akamwambia asijali zile pesa akae nazo tu alimsaidia.bint akasisitiza sana.mzee akagoma. Basi binti akaamua aziache pale mezani.akaondoka kwenda room kwake.akasubiri gari na vijana wakaja wakabeba mizigo kuhama.
Anasema siku hiyo amehamia hiyo sehemu nyingine alilala amechoka sana.ila akaota ndoto yule mzee analalamika sana.akitaka wawe na mahusiano.
Kesho yake ameamka anazikuta pesa zake kwenye pochi.alishangaa sana maana alikumbuka pesa aliziacha mezani.alizikuta zipo vile vile hazijapungua hata shilling.
Akawa anajiuliza je alijisahau?au mzee alimrudishia kwenye pochi.but hakuwahi toka kumwachia pochi mzee.na hakumbuki kma mzee aligusa pochi.hakuelewa kabisa.akaamua kuliacha hilo.
Kesho yake usiku alipolala anasema aliota ndoto ana sex na mzee.alishtuka usingizin akajikuta amelala amebong'oa. Hilo lilimshtua sana.kukicheck kwenye K akajiona kuna ute ute.akashindwa elewa. Ila hakulala tena. Kesho yake akaenda msimulia mwenzie.yule mwenzie akasema wakalale wote.
Siku hiyo wamelala yule bidada akaota tena analiwa.kuamka asubuhi hajielewi elewi.akamsimulia mwenzie.mwenzie ndo kumwambia itakuwa yule mzee anakuja kumla.mdada akawa nusu nusu.kama haamini hivi. Siku ya tatu akakutwa na hali ile ile this time aliamka akisikia maumivu mk****ni. Hii ilimshtua sana.baada ya kutoka kazini.akamwambia mwenzie waende kupata kisomo.maana siku nzima alikuwa hawezi hata kwenda choo haja kubwa. Na mdada mwenyewe ameumbika hasa.hips na makalio ya kutosha....
Unitag kwenye mwendelezo plzzzYule dada anasema kipindi cha nyuma alipata kazi Hotel moja ya kitalii Zanzibar (alinitajia jina ila sitoitaja kwa sababu flani) anasema alipokuwa anafanya kazi alipanga nyumba mtaani kwa mzee mmoja aliyekuwa na wake wawili.baadaye yule mzee alianza kuonesha interest kwa bidada.

Hahaha mwamba huwa anatisha sana.... [emoji851][emoji851]Duh kuna wana watu wanakutana na vitimbi humu duniani. Story nzuri sana..
NB: Yule mwamba anaemalizia story zinazohang anaweza pitia hapa mida aje atupe hitmisho.