lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Kaka Mimi binafsi yalinikuta. Jini la kikeHamna, hii chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Mimi binafsi yalinikuta. Jini la kikeHamna, hii chai
siaminiKaka Mimi binafsi yalinikuta. Jini la kike
Yupo JF,Wadau jambo la kushangaza sana leo asubuhi yule dada amenipigia simu. Ni miaka zaidi ya 8 sikuwahi wasiliana naye.leo amepiga simu asubuhi hii kunisalimia. Anasema amenikumbuka sana. Namuuliza upo wapi hajataka kujibu.
nimeshangaa sababu tulipotezana kitambo sana kwa mawasiliano.mimi namba ninayotumia sikuwahi badilisha kwa zaidi ya miaka 15 yeye alipotea tu hewani akawa hapatikani.leo ndo amenipigia. Sikumtambua mpaka alipokutambulisha. Nmeshindwa elewa imekuaje.
Subiri siku yakukute.... Mziki wakesiamini
mi mwenyewe naombea yanikute ili niaminSubiri siku yakukute.... Mziki wake
Simulia sasa acha porojo hewaJamani hii sio chai. Hayo Mambo yapo yalishawahi kunikuta Kama anavyosimulia huyu jamaaa. Nasema yapo
Simulia sasa acha porojo hewa
Yupo JF,
Amesoma uzi huu,
Akaamua kukutafuta.
Yuko humu pengine amesoma uziWadau jambo la kushangaza sana leo asubuhi yule dada amenipigia simu. Ni miaka zaidi ya 8 sikuwahi wasiliana naye.leo amepiga simu asubuhi hii kunisalimia. Anasema amenikumbuka sana. Namuuliza upo wapi hajataka kujibu.
nimeshangaa sababu tulipotezana kitambo sana kwa mawasiliano.mimi namba ninayotumia sikuwahi badilisha kwa zaidi ya miaka 15 yeye alipotea tu hewani akawa hapatikani.leo ndo amenipigia. Sikumtambua mpaka alipokutambulisha. Nmeshindwa elewa imekuaje.
Wanafanya harakati zingine za hiphopHivi wale mapacha wamepotelea wapi siku hizi hawasikiki
Saa nzima watu hawajapita hukuANGALIZO :
MIMI NASIMULIA KISA KILIVYOKUWA SUALA LA WEWE KUAMINI AU KUTOKUAMINI HALINIHUSU. SIKULAZIMISHI UAMINI.
Na mdada mwenyewe ameumbika hasa.hips na makalio ya kutosha....
Yule dada alisimulia akitokwa na machozi maana anasema miaka yake yote hakuwahi dhani kuna siku atafanya kinyume na maumbile.lililomtesa ni kuwa zile ndoto alikuwa anaota na anakuja kukutana na matokeo yake asubuhi.akimuota mzee yule yule ambaye alimkataa.
Wakashauriana na rafikiye kuwa waende kwa ustaadhi. Yule mwenzie alimwambia kwa Zanzibar michezo hiyo ipo sana si jambo geni kiasi hicho. Kipindi hicho huyu dada alikuwa na boyfriend wake dar.anasema hakuweza mwambia jambo hilo aliona kama lingeleta shida.so akafanya siri.
Siku wakakubaliana kuelekea sehemu moja mbali na mji kidogo kuna ustaadhi aliyekuwa anaishi huko.yule ustaadhi aliwapokea na kumsoma huyu mdada. Anasema mzee alimwambia huyu mdada ana nyota nzuri sana ambayo ina mvuto sana. Aliwaeleza mengi akitumia vitabu na maandishi flani huku akichoma udi.
Baadaye akaenda mchukulia shanga akazifanyia dua na kumwambia azivae ila Ijumaa ijayo arudi akiwa na kitu kama shanga hizo cha kuvaa kiuoni ila this time iwe ni dhahabu.
Anasema waliondoka baada ya kufanyiwa dua.wakarudi home.yule dada anasema siku hiyo alilala bila shida.siku ya tatu aliota yule mzee amekuja. Ila this time aliungua mkono alipomshika kiunoni halafu akaanguka na kuzimia kwa muda.baadaye akainuka akaondoka.
Anasema asubuhi aliamka akiwa kawaida na akaenda kazini.jioni alikuja yule jamaa aliyekuja mchukua siku ya kwanza akisema yule mzee anamwomba aempeleke kwake wakaongee.mdada alikataa.hakwenda.kesho tena yule kijana alikuja dada akakataa.
Ijumaa waliambi baada tu ya swala wawe kwa yule mzee na ile chain ya dhahabu ya kuvaa kiunoni.
Ustaadhi aliwakuta wameshafika home.so akamwita mhusika akaenda msomea na akaichukua ile chain amaea anaisomea huku akivukiza udi/ubani.baadaye akamwambia dada akavae.
Yule dada akaingia kwenye kale kachumba akavaa ile chain.alishangaa kufeel ubaridi sana kiunoni.ilikuwa kama amevaa chain ya barafu.akapoteza nguvu akalala.ndotoni aliota yupo sehemu nzuri sana.sana.nchi imetulia peke yake kwenye jumba kubwa sana.ila yupo peke yake.alikuja shtuka amelala kwenye mkeka.
Ustaadhi akamwambia kiasi cha malipo ya huduma.kisha akamwambia kuwa from now on ile chain awe anaivaa kiunoni kama urembo.akipoteza atafute nyingine apeleke kwake au ustaadhi ambaye anasifa flani(alimtajia ) akampa na kikaratasi ambacho kingemsaidia na kitambaa ambacho alimwambia kiwe kinakaa pochini,nyumbani /ndani ya mto.zisipite siku 7 hajawa nacho au kutovaa chain.
Yule dada anasema siku ile amerudi home alilala vizuri.baada ya week ikawa sometimes anaota anafanya mapenzi but this time na boyfriend wake wa dar.
Ingawa uhusiano wake na huyo boyfriend ukawa unadorora sana.akawa hamfeel kabisa.wanagombana sana.mwishowe dada akamwambia hataki tena mahusiano naye.waachane.jamaa alishangaa sana.akabembeleza waonane dada akakataa kabisa.anasema alitokea tu mchukia jamaa.
Ila akawa sometimes anaota wanafanya mapenzi.akawa mbali sana na wanaume.ile hali hakuichukulia kama ni issue alidhani sababu ya kufanyiwa yale mambo na mzee so ameathirika kisaikolojia.
Baadaye akawa anajikuta sometimes anapoteza siku zake za period.miezi kadhaa then zinaanza tena kama mtu aliyeharibu mimba.hali hiyo ikamfanya aongee na rafiki yake. Akapelekwa kwa yule ustaadhi.
Ustaadhi akamwambir ukweli ni kuwa alimpatia ulinzi na ulinzi wenyewe ulikuwa ni wa jini(alinitajia jina) hilo litamlinda na kumsaidia kwenye jambo atakalo.akamweleza hata akitaka kuliita.afanye nini na asome nini.yule dada alichanganyikiwa.
Ustaadhi alimwambia halitamdhuru ila afuate masharti.hakuna kusex kabla ya ndoa,hakuna kunywa pombe.
Yule dada kiuhalisia anasema hapo alianza ona maisha yake yanaanza badilika sana....
Nipo nasubiria another one featuring may back musicSaa nzima watu hawajapita huku
Mmmmmh!!? Eeenh ikaweje sasa baada ya hapo!?ANGALIZO :

Yule dada kiuhalisia anasema hapo alianza ona maisha yake yanaanza badilika sana..
Twende kaxiMmmmmh!!? Eeenh ikaweje sasa baada ya hapo!?
Kasema alienda hapo duka la vipodoz na akatumia 170,000/- kama gharama za shopping nilivomwelewa.Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.