Kisa cha mzee Yusuph

Kisa cha mzee Yusuph

[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
Njiwa peleka salaam...
Nahodha wa mashua kwa nini akae nyuma...

Etc....hata majina sijui nimepatia lakini vitu vya ukweli vinavyosuuza moyo na kufikirisha akili...
Sio mitusi na kushabikiana kunyang'anyana mabwana kwa siku hizi
 
Njiwa peleka salaam...
Nahodha wa mashua kwa nini akae nyuma...

Etc....hata majina sijui nimepatia lakini vitu vya ukweli vinavyosuuza moyo na kufikirisha akili...
Sio mitusi na kushabikiana kunyang'anyana mabwana kwa siku hizi
...dereva ake nyuma abiria tuwe mbele. ...tupige vigelegele tukishafika salama......
 
Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
mi nlijua mkewe nae ameacha kuimba!!??
kama bado anaimba mkewe hapo hamna kitu!
 
Mi nahis ameacha ili aende hijja na kama hiyo ndo sababu hakuna alichofanya Maana nimemuona IG amevaa vazi la hijja(Ihram)na hijja yake Mungu tu anajua nn nia yake!
Ila kama amecha kwa taqwa ya M/Mungu bas hakuna shida
 
Ok kwahiyo nimeeleweka ila mimi ndio sielewi...[emoji15] [emoji15] what a weird phenomenon
Umesema kumbe watu wengi bado hawajakuelewa,ndio mana nikakwambia ulichosema umeeleweka ila ww ndio hutaki kuelewa unavyoeleweshwa kuhusu dini isiyokuwa yako,wenye dini yetu tunakwambia HARAMU ww unashupalia kuihalalisha!Taarab Haramu,OVA
 
Ni imani tu mkuu ila kila mtu atavuna alichopanda kazi ufanye wewe ujira nipokee mimi fikiri tofauti sio kwa mazoea
Binadamu na hata viumbe hutegemeana. Km mkulima mazao yake huvunwa na watu wengi na viumbe wengine kwao ni kivuno pia.

"Kila mtu atavuna alichopanda" ni msisitizo wa wajibu wa kufanya kazi "asiyefanya kazi na asile".
 
Alisema mziki wake usipigwe tena hata kwenye media zote ila juzi mchana mida ya saa 8 nilisikia radioni wakipiga, au ameruhisu sasa hivi?
 
hahaa yaan wameharibu hasa coz now baada ya modern taarab sasa ni MODERN TARADANCE
 
si naskia aleyevaa koti la mfalme ni yule amigo na anaendeleza bendi
 
Alisema mziki wake usipigwe tena hata kwenye media zote ila juzi mchana mida ya saa 8 nilisikia radioni wakipiga, au ameruhisu sasa hivi?
Hapa ndio kapotoka kabisa mziki haupigwi kwenye media tuu
 
Agawe mapato yote yaliyotokana na dhambi(mziki), Hata kama uiyakatisha hizo Mali bado haiingii akilini kuwa umetengana na dhambi. Arudi mchangani kwanza ndo kitaeleweka vizuri.
 
Back
Top Bottom