Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njiwa peleka salaam...[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
...dereva ake nyuma abiria tuwe mbele. ...tupige vigelegele tukishafika salama......Njiwa peleka salaam...
Nahodha wa mashua kwa nini akae nyuma...
Etc....hata majina sijui nimepatia lakini vitu vya ukweli vinavyosuuza moyo na kufikirisha akili...
Sio mitusi na kushabikiana kunyang'anyana mabwana kwa siku hizi
mi nlijua mkewe nae ameacha kuimba!!??Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
Duuu! Mshana tutafisilie hii mistali kidogo!...dereva ake nyuma abiria tuwe mbele. ...tupige vigelegele tukishafika salama......
Umesema kumbe watu wengi bado hawajakuelewa,ndio mana nikakwambia ulichosema umeeleweka ila ww ndio hutaki kuelewa unavyoeleweshwa kuhusu dini isiyokuwa yako,wenye dini yetu tunakwambia HARAMU ww unashupalia kuihalalisha!Taarab Haramu,OVAOk kwahiyo nimeeleweka ila mimi ndio sielewi...[emoji15] [emoji15] what a weird phenomenon
Mmmh inaniachaga hoi kweli mistali ya taarabu... Kuna ile mkuna na mkunwaji!!!Dereva kwa kawaida hukaa mbele lakini wa mashua huja nyuma
Ni fasihi fulani hivi wenye ujumbe wa mafumbo
Mkuu huwa nazifuata Mombasa hizo...wanazipiga sana kule[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
Binadamu na hata viumbe hutegemeana. Km mkulima mazao yake huvunwa na watu wengi na viumbe wengine kwao ni kivuno pia.Ni imani tu mkuu ila kila mtu atavuna alichopanda kazi ufanye wewe ujira nipokee mimi fikiri tofauti sio kwa mazoea
Madhara ya kutumika 0713,acha haraka huo mchezoMajini yake yamemshauri hivyo...
Sasa siku atakayoagwa ataimba? Mana atakuwa anaendelea kutenda DHAMBIKutenda kosa siyo kosa, kosa ni kurudia kosa. Tumwombee maisha mapya aliyochagua Mzee Yusuf.