Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 386
- 514
sio kweli wakuuHuko mafia nasikia kama si mwislam hukai walai.Watumishi wengi wa umma huishia kuhamia maana nasikia ubaguzi ni kiwango kikubwa mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kweli wakuuHuko mafia nasikia kama si mwislam hukai walai.Watumishi wengi wa umma huishia kuhamia maana nasikia ubaguzi ni kiwango kikubwa mno
Vile mwafrika alivyokuwa brainwashed..inashangaza sana.Kwanza ni kweli kabisa asie kua muislam ni kafiri.
Lakin uislam umekataza kumfanyia ubaya kafiri asie udhuru uislam, na umehusia kuwafanyia wema majirani zako, na katika watu wawili ambao wataipata adhabu ya Mungu ni mwenye kuuvunja undugu na jirani muovu
Na jirani bila kujali ni muislam au siyo muislam ana haki zake mbele ya muislam, Muislam yeyote haruhusiwi kumfanyia uadui jirani yake bila kujali Iman.
Hivyo ukimfanyia ubaya mtu asie kua musilam hali ya kua yeye hajakufanyia ubaya basi utahesabiwa umetenda dhambi.
ila asie Amini Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa, na akaamkaamini ktika miungu watatu au vinginevyo huyo atahesabika kama KAFIRI na tutamuombea ili siku moja atoke katika huo Ukafiri.
umeupiga mwingii umeelezea kwa kina sanaa [emoji3059][emoji3059]Unaona unapofeli hapo?! Kwahiyo Al Shabaab kusema waliyosema kwako ndo reference ya kufanya conclusion?!
Hebu twende taratibu! Kwanza kabisa neno Jihad ambako umewatoa hao uliowaita Jihadists, ni neno ambalo limekuwa corrupted sana kiasi kwamba wengi mnaamini Jihad is nothing but war! Lakini hata tukichukua hiyo tafsiri yenu mnayoipenda sana, hebu tuangalie aya zinazotumiwa sana na hao mnaowaita Jihadists!!
QURAN 2:190 inasema:-
Na 191 Inasema:-
Na 192 inasema:-
Na mwisho inasema:-
Kwanza kabisa, kuzielewa hizo aya ni lazima uwe umesoma au uwe na mwanga wa theology tofauti na wengi wenu mnavyoingia tu Google na kuokoteza aya halafu eti ndo mnajiona mnaijua Quran...
...Yaani Quran ile ile ambayo watu wanatumia miaka na miaka kuisoma, watu mnaielewa ndani ya dakika 1... you guys are geniuses!
Lakini pamoja na umuhimu wa teolojia ili uweze kuelewa msingi wa aya za Quran na hata zile za Bible, lakini hebu zisome kwa makini hizo sehemu zilizo-highlight!
Piganeni na wale WANAOKUPIGENI, na wala MSIVUKE MIPAKA!
Hivi hapo unapata picha gani? Ni kwamba Waislamu wameambiwa Wabebe silaha wakaue watu wasio wa imani yao au wameambiwa WAKIWAANZA, FIGHT BACK?!
Hivi kwenye hayo mataifa ya Kikristo, WAKIANZA KUPIGWA, ina maana hawapigani? Kama hawa-fight back, unaweza ku-declare hapa kwamba Crusade ilikuwa UNHOLY War?
Na hapa wala sitaki kuwa mnafiki... Ukiacha wale Waarabu wala neema kule Gulf Countries, Waislam duniani kote akili zetu tunazijua wenyewe!! Huwa hawataki ujinga!!
Hata ukikaa chini ukapiag mahesabu tawala zilizowahi kufurumishwa madarakani just kwa watu kuingia barabarani tu... utakuta nchi zenye Waislamu wengi ndo zinaongoza!! Hata kule West Africa ambako ukizingua tu watu wanakupandia na mashine huko huko Ikulu, nyingi ni zile zenye waislamu wengi!
Hata hawa ma-CCM yanayotusumbua ni kwa sababu yanajua kuna akina Chaliifrancisco wengi ambao Mzungu ili kuhakikisha anakula neema za Afrika bila wenge, akawaambia Bwana Kasema "Mtu akikutandika kofi mkono wa kushoto, mgeuzie na la kulia..." (Don't mind, hii ni furahisha genge tu)
But look CCM Zanzibar wanavyoikumbatia bara... wale wanajua kabisa CCM Bara wakisema "sasa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake katika kutafuta utawala", huo utakuwa ndio mwisho wa CCM ZNZ!
Mtasema sana... hamjasoma, vibarakashia, sijui kunywa kahawa vibarazani, lakini UJINGA KWETU, NOI!
Tuache hayo "mazungumzo baada ya habari"
Sasa ni kwanini nilisema kuzielewa hizo aya ni lazima uwe na mwanga wa teolojia!
Unlike Moses and Jesus, Muhamad aliitangaza imani yake kwa taabu kweli kweli! Yeye na wafuasi wake ilikuwa mara kwa mara wanashambuliwa na hata kuuawa! Wakati mwingine mateso waliyokuwa wanayapata yalikuwa yanatoka kwa watu wa ukoo wake mwenyewe!
Mambo yalipozidi kuwa magumu, ikabidi Muhammad na Wafuasi wake watoroke Makkha usiku usiku na kukimbilia Madina!! Lakini wakati wote huo, ilikuwa wakishambuliwa, jamaa hawajibu mapigo na wakabaki kumlilia Mwenyezi Mungu awanusuru na madhira waliyokuwa wanakutana nayo!
Kutokana na hayo, ndipo zikashuka hizo aya kuwaambia "Acheni uf'ala nyie , wakiwapiga, fight back! Wakiwaua, nanyi ueni! Kama waliwatoa sehemu zenu, fight hard kukomboa hizo sehemu"
Sasa je, hao Magaidi ambao mnapenda sana kuwatumia kama reference, ndivyo wanavyofanya?! Kule Msumbiji walikoenda kuua watu, unaamini kabisa actions zao zinaendana na hizo aya?! Wale wauaji wanaojiita Boko Haram, hivi kabla hawajaanza ule unyama wao ulishawahi kusikia Waislamu Nigeria wamepigwa na Wakristo hatimae Boko Haram wakapata uhalali wa ku-fight back
Na kabla hujaanza kulalamika kuhusu neno kafiri lililotumika hapo, nikujuze tu kwamba Kafiri sio TUSI na wala sio NENO LA KASHFA kama ambavyo mnadhanii! KAFIRI NI MTU ASIYEAMINI UNACHOKIAMINI! Hata Mwislamu ni KAFIRI mbele ya jicho la Mkristo! Hata kwenye Bible hilo neno limetumika sana!!!
Lakini hata ukija kwenye kamusi,
View attachment 2096949
Hiyo ni kamusi ya Kizungu ambayo kuna 90% imeandikwa na Christians! Wao wanakuambia:-
Kwa Mkristo: Kafiri ni yule asiyeamini, especially MUSLIM, wakati kwa Waislam, Kafiri asiyeamini katika Uislamu bila kujali kama ni Mkristo, Pagan, Myahudi or anyone!!
Merriam Dictionary nao:-
View attachment 2096953
Hilo nimeamua kuweka wazi mapema kwa sababu wangekuja wengine hapa wakaanza kutoa mapovu kwa sababu tu aya ya 191 imetaja Makafiri! Tena nadhani ukifahamu maana ya Kafiri basi Mkristo ataona fahari kuitwa Kafiri na Mwislamu! Kwanini asione fahari kuambiwa anaamini Yesu alikufa na kufufuka? Kwanini asione fahari kuaambiwa haamani Quran?!
Mkuu watakusomea albadir ugeuke nyauSawa ndugu Yohana Frank. Nitaongea na Askofu Gwajima, rafiki yangu Mwamposa! Ili tuone namna ya kuja kufungua kanisa huko Mafia na tuwakombea hao Kondoo wote walio potea.
huu ndio ukweli mchungu: katika baadhi ya maeneo ya imani hiyo anayoiongelea wanaamini kuwa maovu yote yanafanywa na wasio na imanai yao. Wanaaminini kuwa wao ni wasaafi - hii ndiyo ajabu yenyeweHabari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi.
Mimi nimezaliwa na kukulia kisiwani mafia, shuleni kwetu tangia naanza darasa la awali mpaka namaliza darasa la saba, hapakuwahi kuwa na mwanafunzi mkristo, sote tuliwa wa imani ya uislamu. Aliwahi kuja mwalimu mmoja wa imani ya ukristo lakini hakukaa sana akaondoka.
Kwa ufupi sisi tangu utotoni katika ukuaji wetu tulifundishwa kwa msisitizo sana kuwa mtu ambaye si wa imani yetu, huyo mtu haifai hata kumsogelea kwa namna yoyote ile, mtu ambaye si muislamu ni sawa au ni zaidi ya nguruwe au mbwa. Mara kadhaa walipokuja watalii wa kizungu, hao ndiyo tuliaminishwa kabisa ni watu wanaopigana na Mungu anayetupatia uwezo wa kuishi. Alipopita mzungu tulikuwa tukitema mate kwa nyuma kuashiria ni kitu ambacho hata kukiona ni dhambi.
Mimi nilipomaliza darasa la saba nilitafutiwa uhamisho na nikahamia Vikindu, na hapo nilianza kidato cha kwanza. Kwakweli niliteseka sana siku za mwanzo pale shuleni, maana nyumbani Mafia nilifundishwa kuwa mtu asiye wa imani yangu ni haramu na haitakiwi hata nimsogelee.
Darasani nilipangwa dawati moja na mkristo, aliyeitwa Yohana Frank, kwakweli nilikaa naye kwa taabu sana nikiamini kukaa dawati moja na yeye natenda madhambi na nitaikosa pepo. Baada ya kuzoea mazingira ya shuleni nilipata rafiki wa imani yangu aliyeitwa Omari.
Cha kusikitisha huyo Omari alikuwa na marafiki wa imani ya kikristo, na walikuwa wakigawana vyakula pale shuleni. Mimi kwa mazingira niliyokulia na mafundisho niliyofundishwa tangu utotoni nilikuwa na wakati mgumu sana pale shuleni. Watu nilioaminishwa ni haramu na haitakiwi hata kuwasogelea, iweje leo nikae nao meza moja na kula pamoja nao?
Kwakweli nilikuwa nikijiuliza maswali mengi sana, na nikaanza kuyafikiria upya mafundisho yote niliyofundishwa tangu utotoni ikiwa yana mantiki au la! Nilianza kuifikiria imani yangu yote kwa ujumla. Mpaka leo nimeanza kufikiria kama kweli Mungu yupo? Huyu Mungu niliyefundishwa tangu utotoni yupo? na vipi kuhusu hawa miungu wa imani nyingine tofauti na imani yangu?
Habari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi.

Sawa, lakini "dini" haifundishwi kwenye familia pekee, naamini yukosahihi 100%Huyo mleta mada ama nae ni MUONGO au ni mtu kutoka vijijini, na wala asiseme "kwetu Mafia tunafundishwa...." bali aseme "kwenye familia yao wanafundishwa..."
Yuko sahihi fundisho lipi?Sawa, lakini "dini" haifundishwi kwenye familia pekee, naamini yukosahihi 100%
Mbona unajijibu mwenyewe? Umesahau kuswitch id siyoNimejisikia vizuri sana aliposema ameanza kufikiria ikiwa kweli Mungu yupo?
Bila shaka hivi karibuni atatambua Mungu wa imani yake hayupo, wala Miungu wa imani nyingine tofauti na imani yake hawapo.
Namtakia kila la kheri.
Na.2 na 3 umetengeneza ya kwako, huenda unauelewa juu ya hayo.Yuko sahihi fundisho lipi?
1. Kwamba Uislamu unakataza Mwislamu kukaa karibu na Mkristo kwa sababu Mkristo ni zaidi ya nguruwe au mbwa,
2. Au yupo sahihi kwamba Ukristo unakataza kukataza karibu na Mwislamu kwa sababu utapata majini, au
3. Ay yupo sahihi kwa yote hayo?
Wape elimu hao wasioujua Uislamu ni nini?Unaona unapofeli hapo?! Kwahiyo Al Shabaab kusema waliyosema kwako ndo reference ya kufanya conclusion?!
Hebu twende taratibu! Kwanza kabisa neno Jihad ambako umewatoa hao uliowaita Jihadists, ni neno ambalo limekuwa corrupted sana kiasi kwamba wengi mnaamini Jihad is nothing but war! Lakini hata tukichukua hiyo tafsiri yenu mnayoipenda sana, hebu tuangalie aya zinazotumiwa sana na hao mnaowaita Jihadists!!
QURAN 2:190 inasema:-
Na 191 Inasema:-
Na 192 inasema:-
Na mwisho inasema:-
Kwanza kabisa, kuzielewa hizo aya ni lazima uwe umesoma au uwe na mwanga wa theology tofauti na wengi wenu mnavyoingia tu Google na kuokoteza aya halafu eti ndo mnajiona mnaijua Quran...
...Yaani Quran ile ile ambayo watu wanatumia miaka na miaka kuisoma, watu mnaielewa ndani ya dakika 1... you guys are geniuses!
Lakini pamoja na umuhimu wa teolojia ili uweze kuelewa msingi wa aya za Quran na hata zile za Bible, lakini hebu zisome kwa makini hizo sehemu zilizo-highlight!
Piganeni na wale WANAOKUPIGENI, na wala MSIVUKE MIPAKA!
Hivi hapo unapata picha gani? Ni kwamba Waislamu wameambiwa Wabebe silaha wakaue watu wasio wa imani yao au wameambiwa WAKIWAANZA, FIGHT BACK?!
Hivi kwenye hayo mataifa ya Kikristo, WAKIANZA KUPIGWA, ina maana hawapigani? Kama hawa-fight back, unaweza ku-declare hapa kwamba Crusade ilikuwa UNHOLY War?
Na hapa wala sitaki kuwa mnafiki... Ukiacha wale Waarabu wala neema kule Gulf Countries, Waislam duniani kote akili zetu tunazijua wenyewe!! Huwa hawataki ujinga!!
Hata ukikaa chini ukapiag mahesabu tawala zilizowahi kufurumishwa madarakani just kwa watu kuingia barabarani tu... utakuta nchi zenye Waislamu wengi ndo zinaongoza!! Hata kule West Africa ambako ukizingua tu watu wanakupandia na mashine huko huko Ikulu, nyingi ni zile zenye waislamu wengi!
Hata hawa ma-CCM yanayotusumbua ni kwa sababu yanajua kuna akina Chaliifrancisco wengi ambao Mzungu ili kuhakikisha anakula neema za Afrika bila wenge, akawaambia Bwana Kasema "Mtu akikutandika kofi mkono wa kushoto, mgeuzie na la kulia..." (Don't mind, hii ni furahisha genge tu)
But look CCM Zanzibar wanavyoikumbatia bara... wale wanajua kabisa CCM Bara wakisema "sasa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake katika kutafuta utawala", huo utakuwa ndio mwisho wa CCM ZNZ!
Mtasema sana... hamjasoma, vibarakashia, sijui kunywa kahawa vibarazani, lakini UJINGA KWETU, NOI!
Tuache hayo "mazungumzo baada ya habari"
Sasa ni kwanini nilisema kuzielewa hizo aya ni lazima uwe na mwanga wa teolojia!
Unlike Moses and Jesus, Muhamad aliitangaza imani yake kwa taabu kweli kweli! Yeye na wafuasi wake ilikuwa mara kwa mara wanashambuliwa na hata kuuawa! Wakati mwingine mateso waliyokuwa wanayapata yalikuwa yanatoka kwa watu wa ukoo wake mwenyewe!
Mambo yalipozidi kuwa magumu, ikabidi Muhammad na Wafuasi wake watoroke Makkha usiku usiku na kukimbilia Madina!! Lakini wakati wote huo, ilikuwa wakishambuliwa, jamaa hawajibu mapigo na wakabaki kumlilia Mwenyezi Mungu awanusuru na madhira waliyokuwa wanakutana nayo!
Kutokana na hayo, ndipo zikashuka hizo aya kuwaambia "Acheni uf'ala nyie , wakiwapiga, fight back! Wakiwaua, nanyi ueni! Kama waliwatoa sehemu zenu, fight hard kukomboa hizo sehemu"
Sasa je, hao Magaidi ambao mnapenda sana kuwatumia kama reference, ndivyo wanavyofanya?! Kule Msumbiji walikoenda kuua watu, unaamini kabisa actions zao zinaendana na hizo aya?! Wale wauaji wanaojiita Boko Haram, hivi kabla hawajaanza ule unyama wao ulishawahi kusikia Waislamu Nigeria wamepigwa na Wakristo hatimae Boko Haram wakapata uhalali wa ku-fight back
Na kabla hujaanza kulalamika kuhusu neno kafiri lililotumika hapo, nikujuze tu kwamba Kafiri sio TUSI na wala sio NENO LA KASHFA kama ambavyo mnadhanii! KAFIRI NI MTU ASIYEAMINI UNACHOKIAMINI! Hata Mwislamu ni KAFIRI mbele ya jicho la Mkristo! Hata kwenye Bible hilo neno limetumika sana!!!
Lakini hata ukija kwenye kamusi,
View attachment 2096949
Hiyo ni kamusi ya Kizungu ambayo kuna 90% imeandikwa na Christians! Wao wanakuambia:-
Kwa Mkristo: Kafiri ni yule asiyeamini, especially MUSLIM, wakati kwa Waislam, Kafiri asiyeamini katika Uislamu bila kujali kama ni Mkristo, Pagan, Myahudi or anyone!!
Merriam Dictionary nao:-
View attachment 2096953
Hilo nimeamua kuweka wazi mapema kwa sababu wangekuja wengine hapa wakaanza kutoa mapovu kwa sababu tu aya ya 191 imetaja Makafiri! Tena nadhani ukifahamu maana ya Kafiri basi Mkristo ataona fahari kuitwa Kafiri na Mwislamu! Kwanini asione fahari kuambiwa anaamini Yesu alikufa na kufufuka? Kwanini asione fahari kuaambiwa haamani Quran?!
Hapa uislam unaweza usiwe shida,ila shida ikawa kwa walio upokea uislam wameuelewaje?
Eti ndicho ulichosema...Na.2 na 3 umetengeneza ya kwako, huenda unauelewa juu ya hayo.
Na 1 ndicho alichosema: harafu unajua na unajifanya hujui, poor you.
aise,Imani za ukristo na uislamu wote wanafundisha chuki dhidi ya wenzao, ni vile tu kila dini inafundisha chuki kwa aina yake.
Inawezekana wewe hupenda kunukuu na hujibidishi kubeba meaning ya contentNI kwamba ulidanganya sio?
Wewe unayejiita Gama siwezi kukushangaa kwa sababu nilishawahi kukutana na wewe kwenye mjadala mmoja uliokuwa unatetea mauaji ya Rohingya na bila aibu ukasema kwanza hao Waislamu wa Rohingya kule Myanmar sio kwao, wamefuata nini
NImekuuliza, unafahamu kwanini alisema dini zote zinafundisha chuki?!Inawezekana wewe hupenda kunukuu na hujibidishi kubeba meaning ya content
Umeiona hiyo blacket?! Inakupa ishara gani?! Na ili usidhani kama nime-edit, angalia post #12 ambayo Khantwe alini-quote, na utaiona hiyo bracket! Unataka kusema sina akili hadi nikasema according to mtoa mada!Au tuseme katika maisha yako hujawahi kukaa na Mwislamu?! Inawezekana hivyo? Au ukigundua tu kwamba Mwislamu unamkimbia kwavile ulifundishwa (according to mtoa mada ambae umeamua kumwamini) ukikaa na Mwislamu utapata majini?!
Kwani huko Nairobi/Kenya hawana sheria za nchi? Kama wanayo unafikiri kuwa na sheria ndo kunazuia kutokea mambo ya ajabu. Ugaidi unatumia mwamvuli wa dini kupandikiza chuki tu kwa interest za watu wachache.Mkuu kubali ukatae ni kwasababu tu kuna sheria za nchi la sivyo ungeshuhudia mambo ya ajabu sana. Angalia mfano jihadists mafundisho yao ambayo wanafundisha vijana.
Reference ya karibu kabisa angalia lile tukio la West Gate Nairobi. Wale jamaa walikuwa wakikukuta wanakuambia recite shahadah (kwamba unamkiri Allah na unamtambua Mohamed kuwa ni mtume wa Allah) na kama hujui ulikuwa unakula risasi.
Sasa imagine kungekuwa hakuna hizo sheria za nchi zinazozuia mauaji unadhani watu ambao hawaamini Islam wangepona?