Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Visa ni vingi na vina mafundisho mazuri,nimejaribu kupitia baadhi ila sijaona kisa cha ushuhuda wa mambo ya kishirikina,nikipata muda nitawahadithia kisa cha jamaa yangu alieshuhudia kwa macho yake mchawi akiloga na aliwaona kabisa walikua ni majirani zake...jamaa huwa anajuta kwann alifungua dirisha usku wa manane
 
Hii sio mimi ni mdogo angu alikuwa anasimamia nyumba zangu nazojenga siku hiyo walikuwa stage ya Linta wakachelewa kutengeneza box na nondo wakabugi wakakoroga zege kubwa ilibidi wakomae nalo mpaka saa nne usiku.
Yule dogo alivyotoka kusimamia site yangu si akapitia kwa demu wake akawa anarudi home saa 6 usiku si akapitia kwenye jumba akojoe bwana si akamkuta jirani yetu Kainamishwa na dereva bodaboda ambae huwa anamtumaga kila sehemu anamuitaga boda boda wangu.
Kwa maelezo yake anasema alisikia miguno akashawishika kwenda kuchungulia Mule chumbani ni watu wawili wameunganisha vikojoleo na mbaya zaidi anawajua, Dogo akaona aibu yeye ikabidi asepe sasa cha kushangaza baada ya siku tano dogo akaniambia bro leo nifuate site na gari kuna kitu hakipo sawa kumbe yule mama kakodi masela eti wamtishe dogo ndo akanielezea full mkanda mi ikabidi nimfuate yule mama kumkanya asirudie tena kutuma wahuni kwa mdogo angu kwa ujinga wake kumbe bwana wakati tunayazungumza hayo yule mama akajaa mihasira akaanza kuropoka kujitetea bwana kumbe mumewe alikuwa chumbani anasikia debate yetu si akaingilia huku ananitetea mimi kuwa mi sina kosa na huyo dogo bodaboda ameshafuma sms zake kwenye simu ya mkewe na leo Mungu kamletea ushahidi live home.
IN SHORT
nilivunja ndoa ya watu kifala sana ukoo wa mwanamke walinijia juu kuwa mimi sina busara najiona msafi nimeenda kumsemea mtu wa watu kwa mumewe kaachwa vilikaliwa vikao vingi mno including ndugu kutoka mikoani jina linalotajwa ni langu kuna muda nilijiona mkosefu kwa sababu baada ya mwaka mmoja na nusu nimekutana na yule mama kachoka vibaya najihisi nahusika kwenye kuchakaa kwake.
Siku wanafumwa mmewe alienda kwenye semina ya kikazi Mkoani yeye ni Mtumishi wa TRA
 
Aisee! ila sometimes hawa wanawake wanaya takaga wenyewe, ona sasa boda boda alkua anakula mzigo bure tu kaachika na msela hajamuoa matokeo yake ndo hayo, uzinzi hauna faida tu hata ivo...
 
KAMWE SIWEZI SAHAU TUKIO HILI

2018 kipindi nimemaliza kidato cha nne, sa day moj nlikua na washkaj zang nliomaliza nao shule tupo home seblen tunachek porn kweny Tv
, hapo tumewek CD kweny dek,
Tumechek mzigoo weeeee, hapo stim zimepanda kila mtu katoa mashne yake anaipooza,
Kipnd hcho wazaz wapo job na madogo wengne wap shule..
Tukiwa bdo tunaendelea kuchek porno wenyew tunaita Tution[emoji1787]
Gafla umeme ukakatika na CD ipo ndan ya dek,,, wale jamaa zangu wakaondoka nkabaki mwenyew nasubir umeme urud ntoe CD,
ikafka saa kumi bado umme haujarudi, na ndo time ya mzee kuja, pia akifika hua atak mtu achezee TV
kipnd natafakali nkaskia honi getini, nkajua n mzee hyu,, nkachomoa dek chap nkaend ficha chooni kuna kile kimlango cha juu kweny gypsum kwa ajili ya fundi kwend kweny dali, nlivyomalz nkaend kufungua geti,
Mzee akaenda chumbani kwake baadae akaja seblen akaon deck haipo, akaniuliza nkasem imeharbka nmepeleka kwa fundi ntaifata umeme ukirud
bas nkaend nje na mamb yang, baadae umeme ukarud nashangaa naitwa ndani kufika sebkeni nakuta porn ipo LIVE aloooooh nusu nizimie, nkaulizwa hiki n nn?nkawa sina majibu aisee
Nlipgwa
Ruka kichurachura
Tembelea tumbo
Pushup,
yan nlipgwa kama gaidi bahat nzur mam alitokea ndo naachwa ,, nakumbuk nlichanika usoni kidgo.
Kumbe mzee alvyotk job aliingia choon akaon gypsum kam imebomok kidogo, ule unga wake umemwagika chini, akahis kun kitu juu, alvyopanda akakuta deki,, NYIEEEEEE Mpaka leo hii nkionana na mzee ananiuliza kam bad anaangalia ila kiukweli nmeacha.
Kuanzia 2018 had leo sjawai kuangalia XNXX[emoji23][emoji23]
 
Umejuaje XNXX kama kweli huangali porn?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungemuuliz mzee wew hujawahi kuangaliaaa
 
Mimi nikiwa sekondari hali ya ada ilikuwa haiji kwa wakati, sasa rafiki yangu yeye ndio ilikuwa kazi yake kutengeneza risiti feki, sasa kila akiniambia mwanangu acha kulipa ada simuuelewi, ikafika maali somo lake nikalielewa na ikawa kazi yetu ni kutengeneza risiti feki za ada kwenye msako wa wasiolipa mimi na huyo jamaa tukawa tunapona, sasa mbali na hayoo maarifa nikajiongeza mpaka nikawa naweka saini ya mkuu wa shule, ukiangalia saini yangu na mkuu wa shule haina tofauti. Hii saini ilitengenezea pesa sana wakati huo, maana mtu yeyote anayetaka kuondoka shule kwanza lazima awe na kibalu cha mkuu wa shule. Na kwavile ndio ilikuwa kazi yangu so kabla hujapata kibali lazima utoe hela kidogo ndio nikuandikie kibali, ukifika getini mlizi akiona wala mara 2 haulizi, geti unaona limefunguliwa kazi kwako

Sasa ilifika mahali mlinzi akaripoti kwa mkuu mbona now ruhusu zimekuwa nyingi, ndio mkuu akamuuliza nini unamaanisha mlnzi hapo anampa mkanda mzima, sasa wakati wanaongea hayo, mimi niko ofisini kwa mkuu wa shule nmeletwa hapo kwa kesi ya kumuita mwalimu kwa kumpigia mluzi alafu akataka kunipa adhabu ya fimbo nikagoma akanichukua mpaka ofisini kwa mkuu wa shule ikawe collabo ya fimbo kwa waalimu wote

Kama mungu vile nmepekwa ofisini kukawa na darasa linasumbua yule mwalimu aliyenileta ofisini, mkuu akamuomba akachape darasa zima na wala hakumueleza mkuu tatizo langu nini, so nikabaki na mkuu wa chuo hapo na ndio mkanda mzima wa kuhusu vibali vilivyokuwa natoa nikaupatia hapo, baada ya maongeze mkuu na mlinzi, mkuu akaniuliza wewe nini tatizo nikamdanganya msumbufu nikapigwa fimbo 4, then nikarudi class huku darasa likitegemea nmetoka kunyeshewa mvua ya fimbo ya staf wote wanaona jamaa anarudu anatabasamu, darasa likaangua kicheko na kila mtu ananiuliza vipi huko ulipotoka sasa nikawa nawadanganya ukipelekwa huko the hague huwa huchomoki lazima kifungo kikuhusu.

Basi mtego ukawa umewekwa siku ile atakayekuja na kibali akamatwe na apelekwe mpaka kwa aliyempa na mim kwavile nilikuwa nmeshapata mkanda mzima ukawa ndio mwisho wangu, sema kama siio hiyo kwesi kunipeleka ofisini nilikuwa niingine kwenye 18 za kifukuzwa shule
 
KAMWE SIWEZI SAHAU TUKIO HILI

2018 kipindi nimemaliza kidato cha nne, sa day moj nlikua na washkaj zang nliomaliza nao shule tupo home seblen tunachek porn kweny Tv
, hapo tumewek CD kweny dek,
Tumechek mzigoo weeeee, hapo stim zimepanda kila mtu katoa mashne yake anaipooza,
Kipnd hcho wazaz wapo job na madogo wengne wap shule..
Tukiwa bdo tunaendelea kuchek porno wenyew tunaita Tution[emoji1787]
Gafla umeme ukakatika na CD ipo ndan ya dek,,, wale jamaa zangu wakaondoka nkabaki mwenyew nasubir umeme urud ntoe CD,
ikafka saa kumi bado umme haujarudi, na ndo time ya mzee kuja, pia akifika hua atak mtu achezee TV
kipnd natafakali nkaskia honi getini, nkajua n mzee hyu,, nkachomoa dek chap nkaend ficha chooni kuna kile kimlango cha juu kweny gypsum kwa ajili ya fundi kwend kweny dali, nlivyomalz nkaend kufungua geti,
Mzee akaenda chumbani kwake baadae akaja seblen akaon deck haipo, akaniuliza nkasem imeharbka nmepeleka kwa fundi ntaifata umeme ukirud
bas nkaend nje na mamb yang, baadae umeme ukarud nashangaa naitwa ndani kufika sebkeni nakuta porn ipo LIVE aloooooh nusu nizimie, nkaulizwa hiki n nn?nkawa sina majibu aisee
Nlipgwa
Ruka kichurachura
Tembelea tumbo
Pushup,
yan nlipgwa kama gaidi bahat nzur mam alitokea ndo naachwa ,, nakumbuk nlichanika usoni kidgo.
Kumbe mzee alvyotk job aliingia choon akaon gypsum kam imebomok kidogo, ule unga wake umemwagika chini, akahis kun kitu juu, alvyopanda akakuta deki,, NYIEEEEEE Mpaka leo hii nkionana na mzee ananiuliza kam bad anaangalia ila kiukweli nmeacha.
Kuanzia 2018 had leo sjawai kuangalia XNXX[emoji23][emoji23]
Ndio maana huwa nashangaa sana mtu akitoa story hapa mwingine anasema umeiga au umekopi wanasahau mazingira yanaweza kufanana katika maisha.

Kipindi nasoma O-level niliumwa shule nikarudishwa home basi kipindi hicho home yupo baba na mama tuu. Mimi na madogo tunasoma boarding. Nilivyorudi sebuleni nikakuta CD za porn kibao basi mchana wazazi wameondoka nikaweka nacheki mwenyewe. Bwana umeme si ukakatika nilidata vibaya mno. Nilitamani hata ningeweza kuifungua deki nitoe CD manually.

Ulikatika mchana kilichotokea niliwasha taa za nyumba nzima si jikoni, sebuleni hadi nje in case umeme ukarudi nitakapokuwepo nijue. Umeme ulikuja kurudi saa 12 jioni nikaitoa CD nashukuru Mungu hiyo siku wazee walichelewa kurudi ndio pona pona yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu pole japo nimecheka sana Daah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kijana yan mm tangu hyo day nmeacha kuchek mavituzz, Aibu Aibu Aibu
 
Kuna Dem anaitwa halima,alinilia pesa yangu halafu akaninyima papuch,akaja olewa Ila ameachwa,naendeleA kumsaka mpaka nami nimkule nipozee machungu.maza fanta kabisa
Umenikumbusha mwaka 2013 kina dem nilimpenda sana na nilitaka nifunge nae ndoa akakataa. Sijawahi kula kipindi hicho na alikula pesa zangu nikaja kumla 2022 hii.
 
Najutia sana kuwazalisha wadada. Sasa hivi maisha yananiendea kombo yaani niko na familia yangu lakini utasikia unapigiwa simu mara mwanao anaumwa mara ada. Yaani hata mke wangu hayuko comfortable na masimu simu.

Kuna siku aliniambia yani ungeniambia una watoto nje hata nisingekukubali. Daah naumia sana.
Picha lako lafanana na langu duh.
 
Back
Top Bottom