Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #61
π€π€π€Code nyepesi sana hizi:
Huna ndevu
Unavaa jezi juu chini track
Uniform unazivalia kazini
Una shift ya usiku/asubuhi
Skia bwana mdogo, wewe private wa JWTZ na mshahara wako ni 900k.
Halafu mbona huondoki?, au jina limekatwa safari ya Kongo.
Mwamba unazingua tema manta hiyo[emoji848][emoji848][emoji848]
Hapo hakuna Cha JW Wala nini ni security guard ambaye hataki wapangaji wenzake wajue kuwa ni mlinzi.Code nyepesi sana hizi:
Huna ndevu
Unavaa jezi juu chini track
Uniform unazivalia kazini
Una shift ya usiku/asubuhi
Skia bwana mdogo, wewe private wa JWTZ na mshahara wako ni 900k.
Halafu mbona huondoki?, au jina limekatwa safari ya Kongo.
........tafadhali madam wangu, ingawa avatar ni mapenzi yako, lakini naomba uweke nyingine au la urudishe ileile......π€£π€£π€£Huyu jamaa aliaga Kwa mbwembwe mnoπ€
Paka anawashangaa hamtaki........tafadhali madam wangu, ingawa avatar ni mapenzi yako, lakini naomba uweke nyingine au la urudishe ileile......
hahahahahahaHapo hakuna Cha JW Wala nini ni security guard ambaye hataki wapangaji wenzake wajue kuwa ni mlinzi.
Itaendelea nimechoka kuandika.
Mkuu umejuajeHapo hakuna Cha JW Wala nini ni security guard ambaye hataki wapangaji wenzake wajue kuwa ni mlinzi.
[emoji23][emoji23]......mwamba katoroka kambi, nadhani walipangwa kama miongoni mwa frontliners kwenye usimamia amani Congo, kaamua kupiga U-turn, cha kufia nini bana, karibu jf tena free stress zone.......
Hurumieni mbavu zangu jamaniHapo hakuna Cha JW Wala nini ni security guard ambaye hataki wapangaji wenzake wajue kuwa ni mlinzi.
Tena urudishe ile ya katoto bwanaPaka anawashangaa hamtaki