KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

Code nyepesi sana hizi:

Huna ndevu
Unavaa jezi juu chini track
Uniform unazivalia kazini
Una shift ya usiku/asubuhi

Skia bwana mdogo, wewe private wa JWTZ na mshahara wako ni 900k.

Halafu mbona huondoki?, au jina limekatwa safari ya Kongo.
🤔🤔🤔
 
Hizi mambo za itaendelea kuiskia staki kabisa, nikiona hivyo sisomi majamaa mnazingua bhana.
 
Code nyepesi sana hizi:

Huna ndevu
Unavaa jezi juu chini track
Uniform unazivalia kazini
Una shift ya usiku/asubuhi

Skia bwana mdogo, wewe private wa JWTZ na mshahara wako ni 900k.

Halafu mbona huondoki?, au jina limekatwa safari ya Kongo.
Hapo hakuna Cha JW Wala nini ni security guard ambaye hataki wapangaji wenzake wajue kuwa ni mlinzi.
 
Kwahiyo hizo uniform zako ulikuwa hizifui miezi yote uliyokaa hapo?
Kuwa makini dogo sungu sungu, na hicho kistori chako cha kutunga
 
HUMU KUNA VI WATU UJUAJI MWINGI VINAJIFANYA KUTAKA KULAZIMISHA MTU AFANYE MATAKWA YAO.....

KAA KWA UTULIVU MTU KA AMUA KU SHARE STORY YAKE UNATAKA MUANZE KUMPELEKESHA....

KAENI KWA UTULIVU WATU WANA MAJUKUMU MENGI KUNA DHARULA PIA...

HOPE KAMA LABDA KUTAKUA LABDA NA APPS....YAAN UNAONGEA YENYEW INA TRANSLATE IN TO WORDS....🤣🤣😂🤓

POVU RUKSA..
 
Back
Top Bottom