KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

Kama yule wa zanzibar?
IMG-20230408-WA0033.jpg
 
Inaendelea sehemu ya mwisho

Maisha yaliendelea siku zikapita miezi nayo ikasogea mwaka nikamaliza nikiwepo kwenye Ile nyumba,maneno na minogono ya majirani zangu hayakuishi siunajua maneno hayafichiki,mtanzania umbea atakupa bure.

Kwa kipindi nilichokuwa naishi Ile nyumba nilizoeana na yule mshikaji mwalimu sabubu wote Tunapenda mpira hasa wa ulaya (Mimi Chelsea ,mwalimu man u)kwa umri Kama tulikuwa tunafanana,Japo sikuwahi kutaka kujua maisha yake zaidi ya jina na sehemu halipotokea.

Wapangaji wengine ilikuwa tukikutana ni salamu na majadiliano kidogo kuhusu Mambo baadhi yaliokuwa yanatokea ndani ya nyumba niliopanga Kama unavyojua nyumba za kupanga (luku,maji,usafi)lazima siku moja moja maneno au malumbano yawepo.

Kuna siku nipo na mshikaji wangu ticha kwenye story hapa na hapa inakabidi aniambie 👇👇

Ticha:hivi mwanangu unajua pale home nyumba nzima wanakujadili wew tu

Mimi :wananijadili Nini

Ticha : kuhusu kazi yako Mana upo tu Kuna siku zingine usiku ulali pale wanakuhisi vibaya

Mimi:😁😁😄😄najua wananijadili Sana pale hasa mwenye nyumba ana mashaka na Kama pango yake nalipa tatizo lipo wapi.

Ticha: muhimu pango lake tu,maisha ya mpangaji hayamuhusu.

Mimi : ndo ivo sema Bibi mwenye nyumba mswahili Sana.

Ticha : achana nae,kikubwa analipwa pango yake.

Mimi : unajua Nini habari hizi nilisikia kwa yule jamaa mnyakyusa mwenye duka pale mbele mke wake si balozi nasikia mwenye nyumba alipeleka malalamiko.

Ticha: ahaa Bibi bana si angekuja direct kwako,kwani kwenye mkataba ulijaza una kazi gani.

Mimi : sikutaka Mambo mengi nilimwambia Mimi ni machinga nauza vitu mjini.

Ticha : sawaa kabisa Ila fanya kweri ata siku moja wakujue

Mimi : ikitokea siku moja watajua tu,siunajua hizi kazi hatuna mood nazo kivile mpaka kila mtu hakufahamu inabid tuishi hivi tu.

Tuishie hapo,tukaendelea na story zingine siunajua wakiwepo wanaume story za chura tu hazikosekani😁

Wasomaji najua kwenye story iliyopita sijaona ata comment moja ikiniuliza sare za kazi nilikuwa naanika wapi baada ya kufua,👇👇👇
Jibu 1 : Kuna muda nilikuwa nafua kazi ni ukouko nikirudi home nguo ishakauka ni kupiga pasi na kuvaa tena.
Jibu 2 : chumba nilichokuwa naishi ni self kina choo kwa ndani Kuna baadhi ya ngua nilikuwa nafulia ndani na kuanika ukouko ndani mpaka zinakauka.nadhani mnenielewa.

Siku zikazidi kupita niliendelea na lifestyle yangu hiyohiyo kila ukiniona natoka home naingia shift asubuhi au mchana/jioni nimevaa track,jezi na sendo au raba,jeans,na shati au jezi.

Kwa kufupisha story ilikuwa hivi.

Siku moja ilitokea emergency job ilikuwa majira ya saa 8 mchana nilipigiwa simu inabidi haraka nifike site.
Nikajiandaa haraka nikavaa sare zangu full nikachukua vitu vyangu vya muhimu,haraka kufuata amri site,kipindi natoka nje baadhi ya wapangaji wenzangu walikuwepo
Nikawasalimia wakati natoka,ghafla wote nikaona wamepigwa na butwaa hawaamini wanachokiona,sikuwa na muda nao ikabidi niondoke zangu.
Ile siku jinsi walivyoshangaa ni Kama wameona kitu Cha ajabu sana.

Nilikaa Kama wiki mbili bila kurudi pale,kulikuwa na mission mpakani tulienda kwa ajili ya kuwajibika na kulitumikia taifa.

Siku niliorudi nilivaa sare zangu Kama kawaida nilikutana na mwenye nyumba wakati naingia ndani.maongezi yalikuwa hivi👇👇

Mimi : shikamoo mama

Mw/ Nyumba : marahaba baba hujambo.

Mimi ; sijambo za siku mbili tatu hizi

Mw/Nyumba : salama tu mwanangu, saiz moyo wangu umetulia nimejua wewe Nani Mana nilikuwa na mawazo Sana kuhusu wewe na ticha aliniambia kila kitu kuhusu wew mwanangu.

Mimi : sawa mama Wala usijari kila mtu ana mtindo wake wa maisha anajiwekea aishi vipi,

Mw/Nyumba : ni kweri baba Ila kwenye mkataba uliandika ni machinga ulikuwa unajificha Nini Sasa mwanangu,unajua ata marehemu mume wangu alikuwa anafanya kazi Kama yako,

Mimi : sikujificha mama niliamua hapa niishi hivi kwa muda huu,nilijua ipo siku mtajua Mimi Nina kazi gani Kama hivi tumejuana maisha lazima yaendelee.

Mw/ Nyumba : ni kweri baba ,Aya nakutakia mchana mwema kama Kuna tatizo lolote me nipo hapa muda wote

Mimi : sawa mama nashukuru

Kikao chetu Cha muda mfupi kiliishia hapa, niliendelea kuishi pale zile dharau na kuchukuliana powa ziliisha Japo Mimi sikuwa na time nazo Niko bize na maisha yangu,baadhi ya wapangaji wenzangu niliowakuta walihama ikiwemo ticha tukawa tunawasiliana tu mara mojamoja.

Baada ya kukaa mwaka na miezi 7 niliama maeneo Yale na maisha mengine yakaendele.

MWISHO

Nb: kazi yangu ni ya Ulinzi

Asanteni sana, mnisamehe kwa uhandishi na upangiliaji mbaya wa matukio

It's me Mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
 
kufuata amri site,kipindi natoka nje baadhi ya wapangaji wenzangu walikuwepo
Nikawasalimia wakati natoka,ghafla wote nikaona wamepigwa na butwaa hawaamini wanachokiona,sikuwa na muda nao ikabidi niondoke zangu.
Ile siku jinsi walivyoshangaa ni Kama wameona kitu Cha ajabu sana.
Sawa private wa JW
Si unajua si maraia mteru mwingi tukiona baka.
 
Inaendelea sehemu ya mwisho

Maisha yaliendelea siku zikapita miezi nayo ikasogea mwaka nikamaliza nikiwepo kwenye Ile nyumba,maneno na minogono ya majirani zangu hayakuishi siunajua maneno hayafichiki,mtanzania umbea atakupa bure.

Kwa kipindi nilichokuwa naishi Ile nyumba nilizoeana na yule mshikaji mwalimu sabubu wote Tunapenda mpira hasa wa ulaya (Mimi Chelsea ,mwalimu man u)kwa umri Kama tulikuwa tunafanana,Japo sikuwahi kutaka kujua maisha yake zaidi ya jina na sehemu halipotokea.

Wapangaji wengine ilikuwa tukikutana ni salamu na majadiliano kidogo kuhusu Mambo baadhi yaliokuwa yanatokea ndani ya nyumba niliopanga Kama unavyojua nyumba za kupanga (luku,maji,usafi)lazima siku moja moja maneno au malumbano yawepo.

Kuna siku nipo na mshikaji wangu ticha kwenye story hapa na hapa inakabidi aniambie [emoji116][emoji116]

Ticha:hivi mwanangu unajua pale home nyumba nzima wanakujadili wew tu

Mimi :wananijadili Nini

Ticha : kuhusu kazi yako Mana upo tu Kuna siku zingine usiku ulali pale wanakuhisi vibaya

Mimi:[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]najua wananijadili Sana pale hasa mwenye nyumba ana mashaka na Kama pango yake nalipa tatizo lipo wapi.

Ticha: muhimu pango lake tu,maisha ya mpangaji hayamuhusu.

Mimi : ndo ivo sema Bibi mwenye nyumba mswahili Sana.

Ticha : achana nae,kikubwa analipwa pango yake.

Mimi : unajua Nini habari hizi nilisikia kwa yule jamaa mnyakyusa mwenye duka pale mbele mke wake si balozi nasikia mwenye nyumba alipeleka malalamiko.

Ticha: ahaa Bibi bana si angekuja direct kwako,kwani kwenye mkataba ulijaza una kazi gani.

Mimi : sikutaka Mambo mengi nilimwambia Mimi ni machinga nauza vitu mjini.

Ticha : sawaa kabisa Ila fanya kweri ata siku moja wakujue

Mimi : ikitokea siku moja watajua tu,siunajua hizi kazi hatuna mood nazo kivile mpaka kila mtu hakufahamu inabid tuishi hivi tu.

Tuishie hapo,tukaendelea na story zingine siunajua wakiwepo wanaume story za chura tu hazikosekani[emoji16]

Wasomaji najua kwenye story iliyopita sijaona ata comment moja ikiniuliza sare za kazi nilikuwa naanika wapi baada ya kufua,[emoji116][emoji116][emoji116]
Jibu 1 : Kuna muda nilikuwa nafua kazi ni ukouko nikirudi home nguo ishakauka ni kupiga pasi na kuvaa tena.
Jibu 2 : chumba nilichokuwa naishi ni self kina choo kwa ndani Kuna baadhi ya ngua nilikuwa nafulia ndani na kuanika ukouko ndani mpaka zinakauka.nadhani mnenielewa.

Siku zikazidi kupita niliendelea na lifestyle yangu hiyohiyo kila ukiniona natoka home naingia shift asubuhi au mchana/jioni nimevaa track,jezi na sendo au raba,jeans,na shati au jezi.

Kwa kufupisha story ilikuwa hivi.

Siku moja ilitokea emergency job ilikuwa majira ya saa 8 mchana nilipigiwa simu inabidi haraka nifike site.
Nikajiandaa haraka nikavaa sare zangu full nikachukua vitu vyangu vya muhimu,haraka kufuata amri site,kipindi natoka nje baadhi ya wapangaji wenzangu walikuwepo
Nikawasalimia wakati natoka,ghafla wote nikaona wamepigwa na butwaa hawaamini wanachokiona,sikuwa na muda nao ikabidi niondoke zangu.
Ile siku jinsi walivyoshangaa ni Kama wameona kitu Cha ajabu sana.

Nilikaa Kama wiki mbili bila kurudi pale,kulikuwa na mission mpakani tulienda kwa ajili ya kuwajibika na kulitumikia taifa.

Siku niliorudi nilivaa sare zangu Kama kawaida nilikutana na mwenye nyumba wakati naingia ndani.maongezi yalikuwa hivi[emoji116][emoji116]

Mimi : shikamoo mama

Mw/ Nyumba : marahaba baba hujambo.

Mimi ; sijambo za siku mbili tatu hizi

Mw/Nyumba : salama tu mwanangu, saiz moyo wangu umetulia nimejua wewe Nani Mana nilikuwa na mawazo Sana kuhusu wewe na ticha aliniambia kila kitu kuhusu wew mwanangu.

Mimi : sawa mama Wala usijari kila mtu ana mtindo wake wa maisha anajiwekea aishi vipi,

Mw/Nyumba : ni kweri baba Ila kwenye mkataba uliandika ni machinga ulikuwa unajificha Nini Sasa mwanangu,unajua ata marehemu mume wangu alikuwa anafanya kazi Kama yako,

Mimi : sikujificha mama niliamua hapa niishi hivi kwa muda huu,nilijua ipo siku mtajua Mimi Nina kazi gani Kama hivi tumejuana maisha lazima yaendelee.

Mw/ Nyumba : ni kweri baba ,Aya nakutakia mchana mwema kama Kuna tatizo lolote me nipo hapa muda wote

Mimi : sawa mama nashukuru

Kikao chetu Cha muda mfupi kiliishia hapa, niliendelea kuishi pale zile dharau na kuchukuliana powa ziliisha Japo Mimi sikuwa na time nazo Niko bize na maisha yangu,baadhi ya wapangaji wenzangu niliowakuta walihama ikiwemo ticha tukawa tunawasiliana tu mara mojamoja.

Baada ya kukaa mwaka na miezi 7 niliama maeneo Yale na maisha mengine yakaendele.

MWISHO

Nb: kazi yangu ni ya Ulinzi

Asanteni sana, mnisamehe kwa uhandishi na upangiliaji mbaya wa matukio

It's me Mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
Vyema kuishi hivyo
 
Back
Top Bottom