Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa madogo huwa wanakurupuka sana. Halafu wanadhani sisi sote tuna akili kama zao. Wanatunga halafu hawataki kuwa wakweli wanajifanya ni story ya kweli. Nikipata muda nitamsoma nimchane chane kabisa aache ujinga.Chizi Maarifa oi kuna mwingine tena kayakanyaga hapa anatudanganya kwamba hafuagi nguo zake njoo mpe yake
Yeah niliaga Ila sikusema naondoka lini mkiona Niko mute mjue sipo jfSo mission wapi? 😂😂 ndio nasikia ukaaga kabisa Jf
😁😁😁😁😁Utakua bwabwa tu
Mkuu njo unichane chane na viwembe😄😄😄Hawa madogo huwa wanakurupuka sana. Halafu wanadhani sisi sote tuna akili kama zao. Wanatunga halafu hawataki kuwa wakweli wanajifanya ni story ya kweli. Nikipata muda nitamsoma nimchane chane kabisa aache ujinga.
Kutafuta Kiki jf ukiwa unatumia ID feki ni upumbavu,Hii ID ulimuachia mtu mwingine au ndio ulikuwa unatafuta Kiki?
😄😄😄😄 Uyo Chizi Maarifa ndo mume wako hapa jfChizi Maarifa oi kuna mwingine tena kayakanyaga hapa anatudanganya kwamba hafuagi nguo zake njoo mpe yake
May God bless you .Nakubari mkuu ndo lifestyle yangu hio naishi maisha ya kawaida tu
Aka katoto nakapenda usikatoe bwanaSawa cute
[emoji23][emoji23]Chezea kuaga weyee
Dogo anazingua mkuu😁Dogo linanga fulani hilo.
Sawa mpenzAka katoto nakapenda usikatoe bwana
Umeona hapo Kuna sehemu nimeandika mimi mwanajeshiKumbe wewe " LIMWANAJESHI" hadi naogopa.
........😄😄worry not, nashukuru umemrudisha to yeye ninayemfahamu, now am happy madam wangu.......🤣🤣🤣Am sorry