Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.

Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda.

Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa ameshakuwa tajiri kwa muda wote ambao haukuhutumua kwenda shule.

Wanasahau kuwa kinachowaweka mjini ni kipaji cha kuropoka ropoka na kugawa makalio, sasa kila mtu akiwa chawa na mtoa yas patachimbika kweli Tanzania hii?

Kaa chini, enjoy bahati yako, acha utoto wa mbwa, upo katika level nyingine ya maisha.
 
Ukwel kutoka moyoni,,,, kwa bongo hii,,,, na soko la ajira lilivyo, mwanangu akifika form 4, hatoenda advance wala chuo kikuu,,,instead ninaweza kumpeleka kwenye hivi vi-collegge akasome course flan flan ambazo ni applicable kwenye maisha yetu ya kila siku, na sio kumuandaa aje kutegemea huruma za ajira za serikali. ,,,, !
 
kazi ipo ,,,! Wenye Unafuu wa maisha na hawajasoma , wakiwaona wasomi wanahangaika na mishahara mbuzi(walimu police n.k) plus wasomi walioko mtaani wanaunga unga hawana kazi wanafurahi sana,,,all in all maisha hayana formula
 
Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.

Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda.

Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa ameshakuwa tajiri kwa muda wote ambao haukuhutumua kwenda shule.

Wanasahau kuwa kinachowaweka mjini ni kipaji cha kuropoka ropoka na kugawa makalio, sasa kila mtu akiwa chawa na mtoa yas patachimbika kweli Tanzania hii?

Kaa chini, enjoy bahati yako, acha utoto wa mbwa, upo katika level nyingine ya maisha.
Hata kama wanaosoma wanapoteza muda, ni muda wao.

Wabongo wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Hakika
 
kazi ipo ,,,! Wenye Unafuu wa maisha na hawajasoma , wakiwaona wasomi wanahangaika na mishahara mbuzi(walimu police n.k) plus wasomi walioko mtaani wanaunga unga hawana kazi wanafurahi sana,,,all in all maisha hayana formula
Maisha ni njia isiokuwa na direction
 
Back
Top Bottom