Pre GE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

Pre GE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinsi tu unavyoandika kila mtu anaona kabisa huna akili.ndio maana unapuuzwa na kudharaulika sana humu jukwaani,kwasababu kila mtu anaona huna akili.
Wewe unayefanya kazi ambayo haina tija ndiye unadharaulika ndiyo maana huteuliwi.
 
Nimegala gala hapa wakuu sijui nini kitatokea ila nasikilizia nitawataarifu.
 
Hii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Huyu kwanza ni taahira kabisa!
 
Hii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Siungi mkono mambo ya huyo mwinjaku kugaragara. Kwanza kwa mujibu wa mila za kabila la Kingoni, anayetakiwa kugaragara ni mwanamke tu. Ndiyo maana mlimuona Jenister Mhagama ambaye ni Mngoni akitimiza mila zao kwa Rais. Sasa tuje kwenye point yako ya msingi kuwa jirani zetu wanarusha satellite angani. Ni kweli lakini walianza kujenga madaraka kwanza. Hivyo swala la ujenzi wa madaraka au tuseme shule lisibezwe.
 
Kalipwa milioni 5 hapo kwenda kufanya hivyo. Plus ticket ya ndege na gharama za hotel. Na hapo ni kazi ya siku mbili tu.

Mwijaku sio mjinga. Kabla hujamcheka jiulize wewe unalipwa shilingi ngapi ?
Ukiendeleza sana pesa unaweza liwa ttyakko lazima uchangue kazi zenye staha.
 
Hii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Rwanda Kwetu kwenye Werevu wengi.
 
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!

Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.

Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana

Huyu analipwa kwa huu usanii
 
Ni heri nikose mume kuliko kuwaa na mume mwehuu Kama huyooo..hata Kama ni pesa sio kwa upuuzi huoo...
 
Alafu eti ana Masters Cjui nikutoka chuo cha Mzumbe? Kama chuo cha mzumbe walimtunuku shahada ya pili zwazwa kama huyu wajifanyie wenyewe tathimini.
Kwa kweli chuoo kijifanyie tathimini...Elimu yake haijamsaidia kbsaaa
 
Huu uchawa ni hasara Kwa Taifa
Imagine wakaibuka vijana mithili ya huyu mtoto wa Kazuramimba 100 nchi si itasimama Kwa uzembe ?
Hapa shida imeanzia kwenye mitaala ya Elimu
Mtoto anasoma ila hajui anasoma nn yy ni kukariri tuu mwisho anamaliza Kazi hana na hajui atafanya nn
Anaamua kubuni mbinu zq hovyo ili apate mkate wake
 
Hii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Huyu Mpumbavu ana kesi Anadaiwa Na Masudi kipanya, ya Madai ya kumchafua Mitandaoni, Sasa Lazima Aendelee kufanya Uchawa ili Apate huruma ya Wakubwa Pimbi Huyu
 
Back
Top Bottom