Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Acheni kashfa zenu kwa stori mnazopeana vijiweni,inawezekanaje mtu amtake mwanamke yeyote tu hata akiwa mke wa mtu na lazima eti huyo mwanamke akubali? Ukiona jambo kama hilo huyo mwanamke atakuwa amekubali mwenyewe labda kwa sababu ya umalaya wake tu na hakuna kitu kinaitwa sijui chakala chakala mikoroshini sema sehemu yoyote ya starehe na kwenye matamasha labda kutokana na ulevi mihemko ya ngono hujitokeza sana na watu hujikuta wanafanya matendo ya ovyo hata huko kwenye masherehe yenu nyie wenzetu mnaojiona mna mila nzuri mambo hayo hujitokeza na sisi tunayajua.Ni ujinga na muda wao wa kukomeshwa mila za hovyo bado haukufika, sasa umefika na DC kazuia.
Zile ngoma ni za hovyo sana, mpiga ngoma akizima anachagua mwanamke yeyote yule anayemtaka hata km mke wa mtu akamle kichakani, akimaliza ndio ngoma inaendelea na hapo ni kundi zima linaingia vichakani kila mtu na wake.!! Hakuna kinga hapo ni kujibebea magonjwa.
Ndiomana wanaimba “Chakala chakala mikoroshini mamaa!! Waambulia gono la Mia mbili mamaa!!”