Kishalipia mahari wachumba watano lakini hakuna aliemuoa.

Hiyo hata siyo tabia nzuri. Haoni hata aibu mwanaume mzima , sasa akishawapewa hizo papuchi anapata nini hasa.

Ipo siku huyo rafiki yako atapata wajanja wenzake na ndio itakuwa mwisho wa hiyo tabia.

Kama huyo ex wako kiubinadamu ni bora ukamwambia ili ajue mapema na kama wa kufanya maamuzi ayafanye kabisa.
 
fanya yako mkuu, acha mchiz awagegede maana hawa viumbe bila kuwadanganya huoni ndani
Hahahahahahaaa eti KUONA NDANI dah umenikumbusha mbal sana jamaa angu flan wa Pande za mbeya alikua anapenda sana kulitumia hilo neno.

HAKUNA NAMNA AMWACHE JAMAA ASUZE RUNGU.
 
Kumbuka kila ufanyalo lina implications zake, mwambie na mwenzio atajajutia tabia zake
 
Mwambie jamaa yako kuna kipengele katika sheria ya ndoa kinazungumzia juu ya "madai ya kuvunja ahadi ya ndoa" hao wadada siku wakiwa na morality ya kufungua kesi atadai na kusugua lami kwenda mahakamani mpaka akome. Ubaya zaidi analipa hadi mahali anajitengenezea ushahidi vizuri wa kumbana
 
Huyo jamaa namjua vizur.. Ni mjinga sana.. Mwanza aliwahi kutoa sehemu tatu ndani ya mwezi mmoja.. Ngoja nicheki na huyo mbibie ntaleta mrejesho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…