PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora
 
Kama ndivyo anaogopa nini uchaguzi huru, wa haki na wenye kuaminika?
 
UTEKAJI PIA NI KISHINDO MOJAWAPO
 
Kama ameyafanya hayo yote kwa nini sasa hataki kufanya mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili uwe huru na haki?anyway mdude na soka familia zao zinawalilia sana hazijui hadi sasa wapendwa wao wako wapi
 
HIZI POROJO WAPELEKEE KIZIMKAZI!

NO REFORMS NO ELECTION
20250608_081654.png
 
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora
No reforms, No elections. Hatununui hizo propaganda
 
nakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado kuna watoto wanakaa chini, madarasa hayana madawati, af IGP analamba zaidi ya 1.5B, watu wanatekwa na kuuwawa Serikali ipo kimya, mnatuambia nini nyie? Kajipigieni kura nyie wenyewe, sisi tunachotaka ni Tanganyika yetu
 
reforms zitafanyika. Na reform ili zifanyike lazima kuwe na midaharo na majadiliano ya kina kati ya serikali na wanaodai haki, reforms hazitafutwi majukwaani reforms zinafanyika kwa midaharo pekee. Na ili reforms zifanyike unahitajika muda eidha wa miaka 5,10 na hata 20 mbele huwezi kukurupuka kutoka usingizini unapanda jukwaani na kutaka reforms. Serikali sikivu ya rais wangu lazima itakuwa inalifanyia kazi ila tusitegemee reforms kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oct. Maana reforms zinahtaji muda,pesa na mambo mengine. Ahsante.
Yaan kubadilisha sheria za uchaguzi ndo kunahitaji miaka mitano, mnatuona mazezeta sana?
 
nakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
Una kichaa wewe.
 
Huna neno kuhusu nafsi zilizopotea, kutekwa, kuuwawa au hata kuf*rwa kinyama?
mkuu,hata ktk mataifa makubwa matukio ya kutatanisha kama hayo hutokea. Hata kipindi cha mwenda zake matukio kama haya yalikuwepo. Hutokea na ni jambo la kawaida.
 
Kama ameyafanya hayo yote kwa nini sasa hataki kufanya mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili uwe huru na haki?anyway mdude na soka familia zao zinawalilia sana hazijui hadi sasa wapendwa wao wako wapi
aliyekwambia hataki ni nani? Busara,hekima na maarifa makubwa ndiyo humwongoza kiongozi kufanya kazi. Ivi unajua kuwa huenda hao waliotekwa,kupotezwa na kuuwawa walitolewa kafara na vyama pinzani ili kuichafua serikali ya mama samiah? Hatuwezi kudeal na watu wanaojiteka wenyewe. Na nakuhakikishia uchaguzi ukiisha hakuna atakayetekwa tena. Ni chadema hao waliamua kutafta tention kwa wananchi.
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado kuna watoto wanakaa chini, madarasa hayana madawati, af IGP analamba zaidi ya 1.5B, watu wanatekwa na kuuwawa Serikali ipo kimya, mnatuambia nini nyie? Kajipigieni kura nyie wenyewe, sisi tunachotaka ni Tanganyika yetu
kwenye hizo changamoto ni 1 kati ya 100.
 
Back
Top Bottom