Ndo maana yake.Mama huyu huyu chura kiziwi
Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Jambo la kawaida? Roho ya utu imewaondokea CCM.mkuu,hata ktk mataifa makubwa matukio ya kutatanisha kama hayo hutokea. Hata kipindi cha mwenda zake matukio kama haya yalikuwepo. Hutokea na ni jambo la kawaida.
sawa mkuu nadhani kila mtu ana engle yake ameona na maeneo yake lkn mimi binafsi sijaona cha maana maana huko kwetu Donyo lengai hata hizo huduma hatujaona kabisaa hata tuu barabaraaa hakuna sijui wewe umepima maeneo gani Kakahuo utekaji unaufahamu wewe mkuu,ninachokifahamu ni mafanikio ya miaka minne ya rais samia katk upatikanaji wa huduma za jamii.
Safi sana kwa lipi? Darasa kama hilo na madawati yake linalofanana kidogo na darasa langu la kwanza DWT Kibondo mwaka 1968 ndio leo miaka 57 baadaye mtu unakuja kusifia kuwa kuna maendeleo ukilinganisha na pesa ya walipakodi inayoteketea kwa anasa? 😳 Tunaendelea mbele au tunadumaa kwa utapia mlo?safi sana mkuu!
watu mko huru kuishauri serikali lakini kwa namna aliyotumia gwaji boy hairuhusiwi,na kwa sisi wataalamu wa sheria tunasema kesi ya uchochezi.
Ondoa upuuzi wako hapanataka nikutajie miradi iliyotekelezwa na rais Samia Hasa upande wa huduma za jamii maji,umeme,afya na elimu.
Haya matapeli Huwa hawakosi wafuasi wajinga. Ndo kama hivi sasaWakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Hili ni darasa au stoo?

Sipingi jitihhada za SERIKALI kuleta maendeleo tangu uhuru.Sikutegemea kama mpenda mbususu mwenzangu holoholo angekuja na uzi mchungu kama huu utadhani umepakwa siki na sifongo.
Natumai hata DIVISHENI FOO leo atatapishwa na uzi huu, hata kama yeye ni mfuasi wa wa CHAUMA ya Spunda.
Nimesikitika sana.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
Sasa kwNini hamtaki uchaguzi huru?!Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
NO REFORMS, NO ELECTIONWakuu,

tuko awamu ya tano, sio ya sita. usipotosheWakuu,

watanzania hamjawahi kukubali wala kukaribia kukubali juhudi binafsi za rais yeyote katika nchi hii.Safi sana kwa lipi? Darasa kama hilo na madawati yake linalofanana kidogo na darasa langu la kwanza DWT Kibondo mwaka 1968 ndio leo miaka 57 baadaye mtu unakuja kusifia kuwa kuna maendeleo ukilinganisha na pesa ya walipakodi inayoteketea kwa anasa? 😳 Tunaendelea mbele au tunadumaa kwa utapia mlo?
amani haipimwi kwa mauaji ya mtu mmoja mmoja mkuu! Asilimia zaidi ya 99.99 nchi iko safe kwa uhai wa watu, hao wanaotekwa kuuwawa na kupotezwa ni wale wanaoenda kinyume na mamlaka ya dunia! Kifo ni kifo tu.Watekaji, wauwaji, na wafiraji wa watu haiwezi kuwa sera ya serikali yoyote halali duniani.
Kwamba una maana maza anasimama na watu hao dhidi ya Gwajima anayemkingia kifua mama kuwa hahusiki?
View attachment 3364864
Inaacha maswali mwngi kuliko majibu.
Hakuna rais yeyote duniani angeacha kumwunga mkono Gwajima kwenye hoja hii!
Tembea Ujionee MkuuMungu amtie nguvu Rais wetu.