PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora
No reform no election
 
Wanufaika wa mfumo wanaomba dua nyingi
mimi ni mnufaika wa huduma za jamii zinazotolewa na serikali ya awamu ya sita chini ya jemedari dakta samia suluhu hassain! Maji(litres 1000 nazinunua kwa tsh 1750),afya(mke wangu ni mjamzito hivyo hutibiwa bure), elimu(elimu msingi na sekondari ni bure wadogo zangu wanasoma bure huku madawati,walimu,vitabu na facilities zingine zikipatikana kwa wingi shuleni), umeme(nina uhuru wa kuanzisha biashara yeyote kama uchomeleaji,biashara ya kuuza barafu nk kwani umeme unapatikana na ni wa bei nafuu hence tsh9200=75unit), huduma za usafiri na usafirishaji(barabara zimejengwa kila kona na pengine leo umepita ktk barabara ya rais samia ila bado unabeza mkuu)
 
Mjamzito anatibiwa bure ? Kwani mimba ni ugonjwa hadi atibiwe?
 
Tembea Ujionee Mkuu
suala La Maji Bado Ni Tatizo Sana Sana
Dodoma Yenyewe HQ Ya Tanzania Ina Changamoto
Kutenbea kunahitaji maono,ujanja malengo na hata nauli. Sasa kama havipo inakuaje
 
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora
Utekaji na ukandamizaji watu,haki kila pande ya Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🤔
 
Kutenbea kunahitaji maono,ujanja malengo na hata nauli. Sasa kama havipo inakuaje
Sahihi Mkuu
Lakini Kuona Sehemu Ndogo Ikionyeshwa Kwenye Luninga Ama Kusikia Redioni
Haina Maana Tatizo Limekwisha. Nipo Singida Muda Huu Tatizo Lipo Tena Mkoani
 
amani haipimwi kwa mauaji ya mtu mmoja mmoja mkuu! Asilimia zaidi ya 99.99 nchi iko safe kwa uhai wa watu, hao wanaotekwa kuuwawa na kupotezwa ni wale wanaoenda kinyume na mamlaka ya dunia! Kifo ni kifo tu.

Kwa hiyo hawa ni waongo:

GtG1b8OXAAAbaGv.jpeg

ila wewe?

Au ndiyo yale yenu ya kifo ni kifo tu?
 
Mjamzito anatibiwa bure ? Kwani mimba ni ugonjwa hadi atibiwe?
kwa zama za sasa za mawe ujauzito umekuwa ni ugonjwa ukilinganisha na miaka ya nyuma,kwamba mwanamama akibeba ujauzito mpaka anajifungua hajawahi kuonana na daktari. Leo hii magonjwa ya akina mama wajawazito yamekuwa mengi mara UTI,mara hili mara lile so uchunguzi na tiba ni lazima, fikria madaktari wanalipwa mshahara,dawa,vifaa tiba vinaletwa halafu mkeo anahudumiwa bure halafu bado unabeza? ni mpaka ufe ndipo watu watasema pengo lako halizibiki.
 
Sahihi Mkuu
Lakini Kuona Sehemu Ndogo Ikionyeshwa Kwenye Luninga Ama Kusikia Redioni
Haina Maana Tatizo Limekwisha. Nipo Singida Muda Huu Tatizo Lipo Tena Mkoani
huwezi kumaliza matatizo yote ila kwa asilimia kubwa huduma zimeenea kila pembe ya nchi.
 
Sipingi jitihhada za SERIKALI kuleta maendeleo tangu uhuru.
Ila Sasa umri wa nchi yetu na maendeleo yake ni kama nchi ime BEMENDWA KWA MUDA MREFU.

MAENDELEO HAYA COLLILATE NA UMRI WAKE INASHANGAZA BAADA YA MIAKA 60 NA USHEHE STILL TUNAZUNGUMZIA SHIDA ZA MAJI SAFI NA SALAMA?? STILL BAADA YA MIAKA 60 NA USHEHE WATU WANA SHIDA ZA MAJI ? TUMEPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI ☺️

AT LEAST KWA SASA TUMEPATA MKOMBOZI SI MWINGINE NI Dennis Robert Shughuru nyuzi na MAANDIKO yake yameonyesha uwezo mkubwa Sana na ukomavu wa fikra na ki utendaji.

Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa Dennis Roberts shughuri ameonyesha Nia njema na ame kua na Nia, ndoto za kama ma founder wa nchi mbali mbali kama V.I . LENIN, kina Abraham Lincoln kina mao Zedong, kina Otto von Bismarck, kina aldof Hitler e.t.c ambao waliweza kuweka misingi ya maendeleo tunayo yaona nchi za ulimwengu wa kwanza
Nilikuwa npendekeza Rais awe Dennis Robert Shughuru halafu waziri mkuu awe Bill Lugano lakini tamko la jana la Lugano lilinikata maini.
 
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora

Ni wakati wa chama gani huduma za kijamii hazikuwepo?

Ni wakati wa uongozi wa Rais gani huduma za kijamii hazikuwepo.?
 
Nilikuwa npendekeza Rais awe Dennis Robert Shughuru halafu waziri mkuu awe Bill Lugano lakini tamko la jana la Lugano lilinikata maini.
Tajiri LUGANO tutamtumia awe kama ELON MUSK kule marekani hakuna namna.

Ndege sijajua wewe tukupe WIZARA gani ntapendekeza upewe HABARI,SANAA NA MICHEZO au TUKUPE WIZARA YA SHERIA NA KATIBA.
 
Nipewe habari saa na michezo maana katika masuala ya Miche na burudani nimeiva haswa!

Ngonjera za Simba na yanga hamtazisikia tena endpo napata hiyo nafasi.
 
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga

Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.

Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.

Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima

Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai

Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.

Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako

Holoholo: kwa sasa Tabora
Warabu mliosaini nao mkataba wa mwendo kasi washaingiza basi ngapi?
 
Natafuta maana ya hii username yako
 
Msaidieni kutekeleza majukumu yawananchi sio kuleta sifa kila kukicha eti sina chakumdai yeye mwenyewe anasema bado changamoto yawananchi ninyingi tushirikiane mimi nauhakika kama mama Samia angefanya kazi kwa utashi wake angefanya mengi ilahii sifiasifia yenu kuna mambo mnaficha
 
Back
Top Bottom