Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Tuambieni watekaji na wasiojulikana mmewafanya nn mpaka leo?kwenye hizo changamoto ni 1 kati ya 100.
Tuambieni watekaji na wasiojulikana mmewafanya nn mpaka leo?kwenye hizo changamoto ni 1 kati ya 100.
mkuu! Kipi kimekuskitisha? Watanzania shida kulaumu pasipo kuja na facts! Suala la utekaji ndo mmelikomalia kana kwamba haya mambo yameanza awamu hii.Sikutegemea kama mpenda mbususu mwenzangu holoholo angekuja na uzi mchungu kama huu utadhani umepakwa siki na sifongo.
Natumai hata DIVISHENI FOO leo atatapishwa na uzi huu, hata kama yeye ni mfuasi wa wa CHAUMA ya Spunda.
Nimesikitika sana.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.mkuu! Kipi kimekuskitisha? Watanzania shida kulaumu pasipo kuja na facts! Suala la utekaji ndo mmelikomalia kana kwamba haya mambo yameanza awamu hii.
Kama yupo Serikali inashindwa nini kumkamatahuenda ndani ya CHADEMA kuna mjanja mmoja ambaye huwa ana ajenda na huwazunguka wenzie, anaua,anateka na kupoteza,ili ionekane serikali inafanya hayo!
Unataka kuniteka?upo mkoa gani mkuu.
Lakini mnaogopa no reform no election.Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
reforms zitafanyika. Na reform ili zifanyike lazima kuwe na midaharo na majadiliano ya kina kati ya serikali na wanaodai haki, reforms hazitafutwi majukwaani reforms zinafanyika kwa midaharo pekee. Na ili reforms zifanyike unahitajika muda eidha wa miaka 5,10 na hata 20 mbele huwezi kukurupuka kutoka usingizini unapanda jukwaani na kutaka reforms. Serikali sikivu ya rais wangu lazima itakuwa inalifanyia kazi ila tusitegemee reforms kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oct. Maana reforms zinahtaji muda,pesa na mambo mengine. Ahsante.
Praise and worshipWakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Mkuu kama mama sa100 hajakutunuku ile kitu roho yako inapenda Kwa kweli sijui.mkuu! Kipi kimekuskitisha? Watanzania shida kulaumu pasipo kuja na facts! Suala la utekaji ndo mmelikomalia kana kwamba haya mambo yameanza awamu hii.
mkuu,hata ktk mataifa makubwa matukio ya kutatanisha kama hayo hutokea. Hata kipindi cha mwenda zake matukio kama haya yalikuwepo. Hutokea na ni jambo la kawaida.
mkuu, amini usiamini,haya maigizo yenu ya no reforms no election mliyoyaeneza mitandaoni hayasaidii kitu,uchaguzi upo na october tunatiki.Mkuu kama mama sa100 hajakutunuku ile kitu roho yako inapenda Kwa kweli sijui.
Hii si kawaida yako.
hahahaha.........Sikutegemea kama mpenda mbususu mwenzangu holoholo angekuja na uzi mchungu kama huu utadhani umepakwa siki na sifongo.
Natumai hata DIVISHENI FOO leo atatapishwa na uzi huu, hata kama yeye ni mfuasi wa wa CHAUMA ya Spunda.
Nimesikitika sana.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
mkuu,nchi yeyote duniani huwezi kuiongoza kama unaongoza familia yako,na hata familia yako umeiwekea kautaratibu ambako kanafata sheria na kanuni zilizowekwa.Kutokea kokote hakuhalalishi kutokea hapa kwa maana afanyaye ni mhalifu na yuko baina yetu.
Hudhani wanaoyapigia kelele matukio hayo wana hoja na yanapaswa kukomeshwa na wahusika kuchukuliwa hatua Kali ilapasavyo?
Kama ndivyo kulikoni waliowaf*ra kina Mwangi kutochukuliwa hatua kwani wanafahamika?
Kulikoni waliomdhulumu Mzee Kibao na wote wengine kulindwa na wapiga kelele kama kina Gwajima kulengwa kama wahalifu?
Mama kamlisha tunda kimaskhara kabisa yaani.hahahaha.........
Mama huyu huyu chura kiziwiMama kamlisha tunda kimaskhara kabisa yaani.
Yakheeee!
mkuu,nchi yeyote duniani huwezi kuiongoza kama unaongoza familia yako,na hata familia yako umeiwekea kautaratibu ambako kanafata sheria na kanuni zilizowekwa.
Mwanao amekuona unasex na mkeo,hawezi kutoka moja kwa moja hadharani anazungumza kwa wenzie kuwa mama nimemuona anasex na baba hata kama awe ni mkubwa kiasi gani.
Mtoto huyo anatakiwa akuite wewe mzee akuambie,baba uwe unafunga mlango wakati wa faragha.
Je, unataka kutuaminisha kuwa hajui sheria na taratibu za nchi? Kwa nini awe mropokaji? Huyo ni mchochezi mkuu.