Awamu ya sita uchaguzi tumefanya lini?Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Magufuli ndio kafanyaWakuu,

Em punguza kelekele, unajua maana ya huduma za jamii?Wakuu,

Ngoja tumpambanie RAIS wetu ajaye mtarajiwa naimani tutafanikisha😁Nipewe habari saa na michezo maana katika masuala ya Miche na burudani nimeiva haswa!
Ngonjera za Simba na yanga hamtazisikia tena endpo napata hiyo nafasi.
kampeni sasa zimeanza. Watanzania mna uchu wa vyeo na madaraka badala ya kuwa na uchu wa kuwatumikia wananchi.Nipewe habari saa na michezo maana katika masuala ya Miche na burudani nimeiva haswa!
Ngonjera za Simba na yanga hamtazisikia tena endpo napata hiyo nafasi.
Hiyo midaharo mtafanyia chumbani uvunguni kwa kitanda ama?reforms zitafanyika. Na reform ili zifanyike lazima kuwe na midaharo na majadiliano ya kina kati ya serikali na wanaodai haki, reforms hazitafutwi majukwaani reforms zinafanyika kwa midaharo pekee. Na ili reforms zifanyike unahitajika muda eidha wa miaka 5,10 na hata 20 mbele huwezi kukurupuka kutoka usingizini unapanda jukwaani na kutaka reforms. Serikali sikivu ya rais wangu lazima itakuwa inalifanyia kazi ila tusitegemee reforms kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oct. Maana reforms zinahtaji muda,pesa na mambo mengine. Ahsante.
nimeyaleta haya nikiwa na uhakika kwa 100% kuwa ni kweli, na kwa uchungu mkubwa katika kuwatumikia wananchi rais wangu amejenga hosptali ya wilaya kijijini tena mapolini kilometa kama 30 kutoka mjini,na hata watumishi wa halmashauri,mkuu wa wilaya yangu,mkurugenzi na wengine wapo kijijini.Magufuli ndio kafanya
Em punguza kelekele, unajua maana ya huduma za jamii?
Kijijini umefika wewe ukaona umeme na maji? Mashule unayajua? Punguza unafiki na uongo
😎😎😎Umeona story za gegedo hazikupi attention uko kwa kijani sawa mwanasheria na wakili msomi kama nduguyo secretarybird wa masijala ndogo kisutu
Kila mtu anapambania tumbo lake mkuu 😀kampeni sasa zimeanza. Watanzania mna uchu wa vyeo na madaraka badala ya kuwa na uchu wa kuwatumikia wananchi.
Samia ni zawadi ya kipekee, mitano tena atufanyie miujiza mikubwa sanaWakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
We poyoyo hao nyumbu wako wamekimbia wakaufanyie uchaguzi wao UbelgijiKama ndivyo anaogopa nini uchaguzi huru, wa haki na wenye kuaminika?
Ubarikiwe kwa kusema ukwelinakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
Nje ya hoja, hoja ni mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi wa miaka 4Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado kuna watoto wanakaa chini, madarasa hayana madawati, af IGP analamba zaidi ya 1.5B, watu wanatekwa na kuuwawa Serikali ipo kimya, mnatuambia nini nyie? Kajipigieni kura nyie wenyewe, sisi tunachotaka ni Tanganyika yetu
Mafanikio yapi hayo?Nje ya hoja, hoja ni mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi wa miaka 4
We pimbi wa UVCCM kuenea ni moja kufanya kazi ni mbili na ufanisi ni tatu.Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Hakuna kitu huko kote labla huko kizimkazi .....mashuleni hakuna watumishinakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
We
We poyoyo hao nyumbu wako wamekimbia wakaufanyie uchaguzi wao Ubelgiji