Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chochote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
isomeke saa moja asubuhiHilo bango linasema saa 07.00 Asubuhi! Hakuna wakati kama huo duniani! Waambie warekebishe.
Naona ataka umpelekee taarifa kwa nyumba yakeMkuu Arusha hukupata taarifa ipi? Mbona yote iliwekwa wazi? Kuanzia mapokezi?
Yesu wa CCM anavyoumia roho sasa anatamani isiwe ilivyo lakini Mungu ndio kapanga.View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia.
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Sio Kweli CCM kule wako kibao Chadema hamna kitu kuleMagufuli aliangukia pua Zanzibar kwenye urais 2015
Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chochote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Wewe utakuwa umelogwaSio Kweli CCM kule wako kibao Chadema hamna kitu kule
Lowasa alipata kura za wapemba akina Seif Shariff Hamad na akina Duni Haji lakini pamoja na kuungana UKAWA na Chadema kuachiwa Jimbo moja hawakuambulia hata diwani Wala mjumbe wa nyumba kumi
Sasa hivi Chadema mumebaki wenyewe peke yenu Zanzibar Lisu anaenda kuuza tu sura kutafuta wadhamini taarifa za uhakika katoka nao Tanzania bara wapemba wanaokaa Tanzania bara ndio wameenda kumdhamini wakiwa wamebebwa kutangulizwa na Salum Mwalimu mgombea mwenza mkazi wa kinondoni
Zanzibar chadema hawana watu wanamtegemea Salum Mwalimu ndie awape watu .Wamewasili Zanzibar Jana tarehe 14 Ili Lisu Akifika tarehe 16 kesho wanpokee wasaini fomu Halafu warudi bara kitu ambacho Ni upotezaji pesa tu
Wangesaini tu wakiwa Tanzania bara tu shida yote ya Nini kupoteza nauli kwenda Zanzibar Wakati hai wanzanzibari wenyewe unao kinondoni Dar es salaam
wabongo mnahangaika na tuvitu vitu huku mambo makubwa hamyaoni !
Amekwenda Bila hela? Gari anayotumia inatumia hewa sio.mafuta? Meli kapanda bure?La uwanja wa Uhuru limewacost shilingi ngapi Mataga? Hamna kabisa habari za huko. Hivi hawaoni aibu Lissu anavyokwenda bila kutumia hela wala nguvu wala vitisho? Jiwe ana hali ngumu sana. Kila kona nshale..
Kiburi Cha Lisu kupinga muungano atapata jibu toka kwa wazanzibari wa pande zote wa CCM na Upinzani
Wale huwa hawana unafiki ukisema hutaki muungano na unatoka bara ukipata kura Mia moja katoe sadaka hawakupi kura .Kuwa nenda kwenu bara huko huko
Lowasa alipoaingia UKAWA alipewa kura Zanzibar sababu hakuwahi tamka kupinga muungano wakampa kura
Ila Lisu ajiandae kwa aibu ya kufa mtu Zanzibar.Membe watampa sababu hajagusa hiyo issue.Wanzanzibari kwa hili nawasifu ukisema hutaki muungano wanalifanyia kazi Mara moja kuwa kwenye uchaguzi nenda kwenu bara wakakupe kura huko huko na sisi tutawapa wa kwetu huku huku
Mwambie babayenu akusanye wasanii kama jina lao lilivyo kimya kimya na lissu akiapishwa tu wajiandae na mwaka huu hatudanganywi na hao wanengua viuno na wapiga mitamaChadema, laiti mambo yenu mngeyafanya kimya kimya nadhani heshima yenu ingebaki standard sana. Lakini naona kama vile mnajishushia hadhi yenu..sorry lakini sio kwa ubaya.
Zanzibar wanautaka muungano?Kiburi Cha Lisu kupinga muungano atapata jibu toka kwa wazanzibari wa pande zote wa CCM na Upinzani
Mnaangaika bure lakini kwakuwa hamtaki kuelewa ngoja tuwaache.Mwambie babayenu akusanye wasanii kama jina lao lilivyo kimya kimya na lissu akiapishwa tu wajiandae na mwaka huu hatudanganywi na hao wanengua viuno na wapiga mitama
Wasiwasi na hofu vya nini tena watu wakiambiwa 'ni yeye' mlikosea kumpitisha ktk level hiyo mnakua wakali...nina wasiwasi kombora atakalolipua TL huko Zanzibar tume inaweza "kumdiskolofai."