Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

Sasa kama alishakuwa huko hawa wanatafuta nini tena?
Na huyo mwenzio anayekupa mapenzi, ndiye ungemkumbushia upuuzi huo, siyo mimi.
Gentleman,
zingatia maelezo yangu ya msingi kwenye comment uliyoreply hapo juu. Na hiyo ndio sababu kuu nikaungwa mkono na mdau uliembeza kwenye coment yako.

Ziara za kawaida za viongozi wetu wakuu kitaifa kwenye mataifa mbalimbali duniani zitaendelea kufanyika kulingana na kalenda ya kitaifa kwa viongozi hao wakuu kuzuru dunia kidiplomasia kwa maslahi mapana ya taifa.

Hayupo wa kuzuia hilo kutokea au kufanyika πŸ’
 
Usisahau. Wewe ni mzoga wa nguruwe tu, unaotoa harufu kali. Usitafute mazoea.
 
Yaani "Zena" ni mjinga sana. Mimi nadhani kuna mtu nyuma ya pazia anayeendesha nchi. Si kwa akili hizi za Zena
Biblia inasema Haki huinua taifa. Bila haki hata mtu akawa msomi kiasi gani hakuna cha maana atafanya kuimarisha Taifa.
 
Samia huko western hemisphere yaani Bara la Marekani Kaskazini, Caribbean, Pacific na ulaya magharibi hakuendeki

 
Ina maana kuna jambo mnahofu nalo, mbona unapingana na mwenzio hapo juu uliyempa "mapenzi" kwa mchango wake.

Mmechanganyikiwa?
Vita ni vita mura,shetani atagongwa na kila aina ya rungu,hatuna shaka na lolote,lakini ikihitajika maongezi ya kihekima pia yawepo!...(Waswahili hatushindwi jambo)
 
Usisahau. Wewe ni mzoga wa nguruwe tu, unaotoa harufu kali. Usitafute mazoea.
bila kuondokana na unyonge wa kiuchumi,
gentleman utaendelea kua mfuata mkumbo mwenyewe fikra nonsense na mihemko useless kama ambavyo uko nayo sasa hivi, na itakua hivyo maisha yako yote, bila kua na kitu cha kukukomboa kiuchumi πŸ’
 
Ukiwa CCM akili inapotea ,Yuda hana tofauti
 
Upo kazini mwenyewe
 
Vp Marekani akiamua kuachana na huo mswada mtajisikiaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…