Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

Wanakwenda kupoza huku nyuma wengine wanapanga kuua tena tarehe 7 July.
 
Viongozi wa Tanzania ni mambumbu sana ishu ndogo tu badili katiba weka tume huru ya uchaguzi,mgogoro kwisha!
 
bila kuondokana na unyonge wa kiuchumi,
gentleman utaendelea kua mfuata mkumbo mwenyewe fikra nonsense na mihemko useless kama ambavyo uko nayo sasa hivi, na itakua hivyo maisha yako yote, bila kua na kitu cha kukukomboa kiuchumi 🐒
Aisee
 
C mlisema wamefungiwa ama
 
Kwa hiyo hapo Dubai, ndio atafanya video link au kumuomba Emir, aonge na USA
 
 
TUTAKUWEPO kuhakikisha viongozi waandamizi wa CCM wanapigwa marufuku kukanyaga marekani na west Europe.

Hasta la Vista sempre.
Watakwenda Oman, UAE, Qatar, Saudia, Urusi,, China, na sehemu nyingine nyingi tu.
Hilo la kutokwenda huko halina msaada mkubwa kwetu tunaonyanyaswa na hawa washenzi.
Tunapaswa kutumia mchango huo kwa kutumia nguvu zetu kukataa kunyanyaswa.
Bila kufanya hivyo hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea.
Unamsikia Museveni siku hizi anasafiri kwenda kokote?
 
Vita ni vita mura,shetani atagongwa na kila aina ya rungu,hatuna shaka na lolote,lakini ikihitajika maongezi ya kihekima pia yawepo!...(Waswahili hatushindwi jambo)
"...maongezi ya kihekima..."; lugha zilezile za kilaghai!
Huwa sielewi mnafundishwa wapi tabia za namna hii.
Maongezi ya kihekima ndiyo yametufikisha hapa tulipo sasa... ulaghai mtupu!


Jambo pekee sahihi ulilosema hapo ni hilo la "kutoshindwa jambo"; na jambo lenyewe ni la kumwondoa Samia na Genge lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…