Na Mimi nashangaa kwa nini wanunue behewa China.This funny, China to supply mabehewa!!! Rubbish, stay prepared to see substandard stuff, Youtong- like stuff.
Wajinga wengi sana hii nchi..na haitokuja kupata maendeleo ya maana kama kujikomba na kujipendekeza ndio tumaini lao.Sasa hicho kishindo cha Rais Samia kiko wapi hapo? Si suala la kawaida tu hilo! Mnakopa ili kununulia hayo mabehewa, na baadaye Watanzania tutatakiwa kulipa huo mkopo na riba juu kupitia kodi na hizi tozo mlizo tuanzishia?
Kwa nini wataalam tunao wategemea, mnapenda kutanguliza siasa na kujipendekeza kwenye mambo ya msingi? Kiukweli mnaboa sana.
10% baba! Ma comrade wetu wa kichina wapo vizuri sana kwenye hiki kitengo.Na Mimi nashangaa kwa nini wanunue behewa China.
Wamesahau matatizo ya Chinese locomotives za Tazara ambazo baada ya matatizo mengi ya kiufundi ilibidi wabadilishe engine na kuweka za Kijerumani.
This funny, China to supply mabehewa!!! Rubbish, stay prepared to see substandard stuff, Youtong- like stuff.
Kwani Katiba inamzuia kujenga reli au kuleta maendeleo .....!!?Mama Samia ni Rais wa mfano Afrika, nchi imetulia lakini inakwenda kwa Kasi ya 4G, mpaka wale wa upande wa pili wamebaki kuimba ,katiba,katiba,katiba, hivi katiba ndio anataka mwananchi? Mwananchi anataka kuteleza na reli awahishe mazao sokoni, hakika mfupa umempata mwenyewe, nani kama Samia suluhu? Bara mpaka Zanzibar, amefunikaaa
Kishindo ni kutekeleza kile alichoonekana kama atakuja kushindwa kukitekeleza. Miradi yote iliyoachwa na JPM inatekelezwa, mmoja baada ya mwingine.Mimi sijashangaa kukopa. Ninaongelea hicho 'kishindo cha Rais Samia' je, ni katika nini? Maana kama ni huko kukopa, wala siyo jambo la kushangaza.
By the way, hiyo mikopo yenyewe tutakuja kulipa sisi! Sasa kishindo kiko wapi? Kama siyo muendelezo tu wa kujipendekeza na kumpa mtu sifa asizo stahili?
Reli ikishaanza kufanya kazi endelea kupanda mabasi, huna haja ya kuingia ndani ya circus.Haya mabehewa yananunuliwa toka enzi za jiwe, mara korea, mara hyundai, mara china, lakini hakuna hata behewa moja lililoletwa.
Hizi circus muwe mnafanyiana kwenye vikao vyenu vya chama