Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

This funny, China to supply mabehewa!!! Rubbish, stay prepared to see substandard stuff, Youtong- like stuff.
Na Mimi nashangaa kwa nini wanunue behewa China.

Wamesahau matatizo ya Chinese locomotives za Tazara ambazo baada ya matatizo mengi ya kiufundi ilibidi wabadilishe engine na kuweka za Kijerumani.
 
Sasa hicho kishindo cha Rais Samia kiko wapi hapo? Si suala la kawaida tu hilo! Mnakopa ili kununulia hayo mabehewa, na baadaye Watanzania tutatakiwa kulipa huo mkopo na riba juu kupitia kodi na hizi tozo mlizo tuanzishia?

Kwa nini wataalam tunao wategemea, mnapenda kutanguliza siasa na kujipendekeza kwenye mambo ya msingi? Kiukweli mnaboa sana.
Wajinga wengi sana hii nchi..na haitokuja kupata maendeleo ya maana kama kujikomba na kujipendekeza ndio tumaini lao.


#MaendeleoHayanaChama
 
Na Mimi nashangaa kwa nini wanunue behewa China.

Wamesahau matatizo ya Chinese locomotives za Tazara ambazo baada ya matatizo mengi ya kiufundi ilibidi wabadilishe engine na kuweka za Kijerumani.
10% baba! Ma comrade wetu wa kichina wapo vizuri sana kwenye hiki kitengo.
 
This funny, China to supply mabehewa!!! Rubbish, stay prepared to see substandard stuff, Youtong- like stuff.

Shanghai Magnev umeiona?
Jamaa wako mbali sana hao
Ukitaka fake unapewa tena na nyongeza

Ila likija suala la kujitangaza na kuwa na bidhaa za standard hata kwao wapo vizuri sana

Kweli mchina ameshika Soko la dunia hata kwa matajiri acha na sisi masikini
 
Hata Kenya mchina aliwaletea treni za kisasa, kazione sasa uone kituko alichowaletea!
 
Mama Samia ni Rais wa mfano Afrika, nchi imetulia lakini inakwenda kwa Kasi ya 4G, mpaka wale wa upande wa pili wamebaki kuimba ,katiba,katiba,katiba, hivi katiba ndio anataka mwananchi? Mwananchi anataka kuteleza na reli awahishe mazao sokoni, hakika mfupa umempata mwenyewe, nani kama Samia suluhu? Bara mpaka Zanzibar, amefunikaaa
Kwani Katiba inamzuia kujenga reli au kuleta maendeleo .....!!?
 
Tungekuwa na viongozi wenye maono, lazima wangekuwa makini sana na bidhaa za kutoka China, ambazo viwango vyake ni vya chini kabisa.

Leo kila mahali barabara zilizojengwa na China, wakati wote zinawekwa viraka, wakati zile zilizojengwa na makampuni ya Ulaya, zikiwa safi na nzima.

Kwa mjinga, kiatu cha mchina cha sh 40,000 kinachodumu iezimitatu ni bei nafuu sana kuliko kiatu cha sh 120,000 cha Italy kinachodumu miaka 4.

Kwa mwenye akili kiatu hichocha China cha sh 40,000 ni aghali maradufu;

Kiatucha China sh 30,000
Kinadumu miezi 3
Ina maana kila mwezi unatumia sh 10,000 kwa hicho kiatu.

Kiatu cha Italy sh 120,000
Kinadumu miezi 12x4= 48
Kila mwezi unatumia sh2,500.
 
Mimi sijashangaa kukopa. Ninaongelea hicho 'kishindo cha Rais Samia' je, ni katika nini? Maana kama ni huko kukopa, wala siyo jambo la kushangaza.

By the way, hiyo mikopo yenyewe tutakuja kulipa sisi! Sasa kishindo kiko wapi? Kama siyo muendelezo tu wa kujipendekeza na kumpa mtu sifa asizo stahili?
Kishindo ni kutekeleza kile alichoonekana kama atakuja kushindwa kukitekeleza. Miradi yote iliyoachwa na JPM inatekelezwa, mmoja baada ya mwingine.
 
Haya mabehewa yananunuliwa toka enzi za jiwe, mara korea, mara hyundai, mara china, lakini hakuna hata behewa moja lililoletwa.

Hizi circus muwe mnafanyiana kwenye vikao vyenu vya chama
Reli ikishaanza kufanya kazi endelea kupanda mabasi, huna haja ya kuingia ndani ya circus.
 
Back
Top Bottom