Hapa shida ni kwamba wajinga hawataki ujinga. Kwa hiyo hawataki ujinga kijinga.Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Kwa akili yako fupi nilikuwa natokwa POVU lakini Kikwete alikuwa DHAIFU na historia itamuandika hivyo. Kikwete alifikia hadi kuambiwa na Kinana kwamba kuna Mawaziri mizigo awafute kazi. Kikwete alilidanganya Taifa kwamba pesa za Escrow si za Watanzania leo hii Ruge na yule baniani wako ndani mwaka wa nne. Na huyo DHAIFU yuko kimya kabisa. Cha kushangaza pesa zile za Watanzania walizifaidi wengi sana lakini huyo MNAFIKI waliokuwa ndani ya maccm na Serikali kaogopa kuwagusa.
Haihusu kitu Mkapa alitaka Tume huru lini lakini hakuogopa kuongea hadharani kuhusu umuhimu wa uwepo wa Tume huru. Hakuna hata mmoja ndani ya maccm alimpinga au kumuunga mkono kutokana na UNAFIKI wao mkubwa.
View attachment 1603428
Duh...!, huku sio kuchanganya dini na siasa?.Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo
Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa
Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais
#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020
View attachment 1603231
Waaow leo nina akili fupi aisee. Hujajibu swali Genius chadema nzima,ni nani aliyewatupa uamsho huko walipo?
Nani kakwambia siasa ni haki....??Unataka kusema ipo mbali na haki,hapo nitakukatalia.
Lisu na ponda nani alianza pigwa risasiAkae mbali na mbeligiji lissu, anadamu ya kunguni atamuingiza matatizoni ponda
Huu ni udini sasaTanzania mpya hoyee
Tundu Lissu : Ama zake ama Zangu, Jiwe Amechoka Amekwisha
Waaow leo nina akili fupi aisee. Hujajibu swali Genius chadema nzima,ni nani aliyewatupa uamsho huko walipo?
Hata lowassa nae aliitwa mtu wa haki,na wapo wengne wanamuita magufuli mtu wa haki...umetumia maneno makali.
..Lissu na mtu wa HAKI, na Sheikh Ponda ni mtu wa HAKI.
Duh...!, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Viongozi wa dini, ni viongozi wa kiroho, hawapaswi kuwa amuru wafuasi wao, wamchague nani, au chama gani!, huku ni kuchanganya dini na siasa.
Maadam Taasisi rasmi ya Waislamu wa Tanzania ni Bakwata, then tunajua Waislamu wa ukweli wa Tanzania, wanataka maendeleo ya kweli, hivyo tunajua watamchagua nani na chama gani, kitakacho weza kuwaletea maendeleo ya kweli, lakini Waislamu ni Shura ya Maimam, ambao hawajai hata fumba, waache wampigie kura mtu walioshauriwa na Sheikh Ponda.
Tena naomba kukumbushia angalizo langu hili kuhusu Muslim extremism na fundamentalism baada ya CCM na JPM kushinda urais kwa kishindo...
Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya?
P
Kwahiyo mlianza na Mabeberu sasa mumehamia kwenye vibaraka?
Maskini waislamu tunatumika kama beleshi ujenzi ukiisha tunawekwa store ewe Allah tuongoze waislamu kipindi hichi kigumu cha masheikh wanafiki wanaojipendekeza kwenye hizi siasa chafu ambazo hazina msaada wote na uislamu.Huyu ni mmoja wa Waislamu wanaojitambua Nchini siyo waislamu wanafiki wanaokumbatia udhalimu wa kutisha wa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa matonge machache ya UBWABWA na vibahasha vya 10,000 na 20,000. Ahsante sana Sheikh Ponda.
[emoji1421][emoji1421][emoji1421]
..Uamsho wamefungwa na JK na Babu Ali.
..lakini hiyo haimzuii Jiwe kuwatendea haki.
..miaka 7 ni mingi mno kumuweka mtu kizuizini bila kesi yake kuanza kusikilizwa.
..kama Jiwe aliweza kuwatoa kifungoni Babu Seya na Papii ambao walilawiti watoto anashindwa nini kuwatoa Mashekhe?
Haihusu kitu hiyo kwani Babu Seya na mwanaye ni nani aliwafunga na ni nani aliwatoa jela? Kama aliweza kuwatoa hao walawiti ni kipi kinachomshinda kuwatoa hao wa uamsho? View attachment 1603443
Tatizo ni tume tu kumtangaza itakuwa shidaAisee ponda Kamaliza kazi.
Ushindi Sasa upo mlangoni
...ata lowassa nae aliitwa mtu wa haki,na wapo wengne wanamuita magufuli mtu wa haki...
Hakuna ukali wa maneno apo.......nachukia sana kuona mtu anatumia vazi la dini Kwenye upumbavu kama huo,shkh ponda ni ganda la ndizi.
Anaongelea waislam gani? Kama wanaharakati wa kiislam sawa.Anasema kura zote za Waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja.
Ponda ndo ameshamaliza kazi hivyo. Ni kiongozi wetu na ametutia shime kuwa na msimamo thabiti. Lissu tutakufa na kupona nae!!!Shekhe Ponda ni Shekhe jasiri sana CCM walipanga auwawe pale Morogoro kwa mshangao wa wengi Shekhe akazikwepa risasi kininja
Huyu Shekhe ni kaliba ya Lissu kama Lissu kaamua kumchukua Shekhe huyu ili amalizie nae kampeni basi ni jambo zuri sana