Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe


..Yanayotokea MTWARA yanatakiwa kulaaniwa na kila Mtanzania. Lakini ni lazima tuelewe kwamba yamesababishwa na DHULUMA pamoja na LACK OF OPPORTUNITIES kutokana na tawala mbovu za CCM.

..serikali, na vyombo, vimekuwa vinawatendea viongozi wa upinzani kama kwamba ni waasi wakati shughuli zao ziko kwa mujibu wa sheria.

..kwa hiyo, sishangai kuona wapinzani kuamua kuwatetea Mashekhe wa Uamsho kwasababu ni serikali iliyowaweka ktk fungu moja.

..Kuhusu Sheikh Ponda kufanya kampeni, CCM wamekuwa wakitumia Mashekhe wa Bakwata na kamati ya amani kufanya kampeni dhidi ya vyama vya upinzani. CCM ndio walioanzisha utaratibu huo, na vyama vya upinzani vinaiga yanayofanywa na CCM.
 
hivi huyo kawaachia wangapi wenye kesi kubwa sana za kukaa jela miaka chungu nzima kwa kulipa faini ndogo sana!? Unasahau kuna kitu kinaitwa dhamana
 
Mbona mnanyegeka sana kima nyinyi...

Mnataka msikie yanayowapendeza tu.

Tizameni TBC pumbavu.
Tbccm ni moja ya channel ambazo nimeziblock kwenye vingamuzi vyangu vyote means sifuatilii hiyo channel kabisa
 
Hapa ndipo panapoogopesha. Wapinzani mnapita mule mule walipopita CCM kwa kisingizio mbona wale walifanya hivi

Dhuluma and lack of opportunities aisee hata boko haram na alkaida watasema hivi
 
Watu wanabadilisha mitazamo ya kisiasa ,wengine wa chadema wanaweza hamasika kupigia kura CCM hivo hivo wa CCM wanaweza kupigia kura chadema ,watu wanabadilika kila siku kwahiyo unajidanganya kuwaza kuwa wafuasi wa chadema hawajajiandikisha au wa CCM ndo wengi wakati kura ni siri
 
Kwani kutenda haki hadi UTOE AHADI? Kuna kitu kinaitwa dhamana pia kwanini anashindwa kuwapa dhamana? Makosa yao mbona hadi leo hii hatuyajui? Ni makosa kweli walitenda au walibambikiwa?

Kwani tunajua hii Serikali dhalimu ilivyo vizuri kubambikia kesi FAKE kwa Watanzania mbali mbali.
Magu hakuwafunga akina babu seya ila aliwatoa baada ya kuhaidi pia. Je uamsho amehaidi kuwatoa?
 
Dada Mimi ni mkristo kkkt naijua imani ya mitume,ungamo la dhambi ,sala ya bwana ,Imani ya nikea ,imani ya atanasio na ahadi ya ubatizo tena kwa saivi nasoma online theology na philosophy chuo kimoja Denmark ila nakuambia hao masheikh wanaonewa bure kama kuna Tatizo au kesi ya kujibu wapelekwe mahakaman basi?
Mwaka wa 8 huu wako rumande hamna kesi yeyote
 
 
Hapa ndipo panapoogopesha. Wapinzani mnapita mule mule walipopita CCM kwa kisingizio mbona wale walifanya hivi

Dhuluma and lack of opportunities aisee hata boko haram na alkaida watasema hivi

..Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wanatumia Mashekhe wa Bakwata na kamati ya viongozi wa dini kumshambulia Tundu Lissu. Sasa kuna ubaya gani Shekhe Ponda kumsaidia Tundu Lissu ktk kampeni zake? Tena Ponda ana afadhali kwasababu hajaisema vibaya CCM wala mgombea wake.

..Mimi siwapendi Boko haram na Al Qaeda, lakini ni lazima tuelewe ni kwanini watu wanajiunga na ugaidi. Mara zote ni kutokana na injustice na lack of opportunities. Hivi vikundi huwa haviibuki tu hivihivi bila kuwa na mazingira fulani ya watu kunyimwa haki zao, kukosa fursa, kutengwa, kubaguliwa, na kukosa matumaini ya kusikilizwa na watawala.
 
Salute Mkuu...
 
Sisi ndio waislamu na ndio tunaujua ukweli kuna audio nikikuletea hapa kuna mihadhara ilikuwa inafanyika hapa Arusha utashangaa mimi siwezi kumtetetea muislamu mwenza kwa kauli kama zile lkn kwavile hichi ni kipindi cha kutafuta kula wacha waislamu tutumike kama beleshi kwasababu wako waislamu wanaojitambua na wasio jitambua

Sent from my SM-G920V using JamiiForums mobile app
 
ahahaaaaa...aya na wewe pia tumekusikia buku saba. kakojoe ulaleeeeeee
 
mk
..itabidi sasa uzoee mazingira mapya ya viongozi wa dini kupiga kampeni za kisiasa.

..ccm ndio walioanzisha utaratibu huo kwa kutumia kamati ya amani ya viongozi wa dini, wapinzani wao wanaiga tu.
mkuu achana nao hao malumumba..yan ccm akinya kanya tu lakin cdm akinya kaharisha
 
Imevuja: Kunampango wa kuwateka Mawakala wa Chadema usiku wa kuamkia Uchaguzi ushauri wangu Chadema lindeni Mawakala kwa udi na uvumba
 
Kwani masheikh wamekamatwa lini?

Huu ni ushabiki wa kisiasa na kutafuta sympathy kwa waislamu

Sent from my SM-G920V using JamiiForums mobile app
kwa hiyo kama wamekamatwa zamani hawastahili kutendewa haki?!!! ccm mmelaaniwa nyie. kwa nini hamuwafikishi mahakaman ili kama ni kufungwa wafungwe na hata kama ni kunyongwa wanyongwe ijulikane moja? kwa nini ccm mnawashikilia hawa binadamu wenzetu kidhuluma bila kuwafikisha mahakamani??!!!!!!?
 
Tunaweza kuwa na mwanzo mpya na mzuri ikiwa kila mtu atapiga kura na kura yake itahesabiwa kwa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…