Kwa hali ilivyo kadri siku zinavyosogea kila upande unajaribu kutumia mbinu ya kubadilisha upepo wa Uchaguzi ili kujihakikishia ushindi kwa kura nyingi
Baada ya kuonekana kama kuna mbinu ya kuegemea taasisi za dini inatumika katika kubadilisha hali ya mambo kama tulivyo sikia matamko kutoka Mtwara kupitia BAKWATA kwamba watamuunga mkono yule
Mara tukaona na mapicha akiwa msikitini huku ikiombewa dua kana kwamba tulikua tunapewa ujumbe kuwa huyu ni wa BAKWATA apewe kura na waislam
Kwa bahati mbaya walisahau kuwa BAKWATA ina upinzani mkubwa sana katika jumuiya ya kiislam
Kwa mbinu hii CDM ni kama tayari mmebadilisha upepo wa uchaguzi na kujihakikishia ushindi mkubwa utakao washing azam watu.
View attachment 1603506