Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

ongezea na neno marehemu.
 
Mwendazake hutumiwa na mtu ambaye humbeza marehemu kwa kujutia mabaya yake,na hayati hutumiwa na mtu mwenye kumsifia kwa mema mengi aliyotenda akiwa hai enzi za uongozi wake.
Yote kwa yote hakuna mkamilifu (wao hawakuwa malaika wala Mungu) na wote ni marehemu kuitwa mwendazake au Hayati haipindui ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli.
 
Ngoja tuone ikiwa Kweli, Wazuri HAWAFI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…