We shem wewe.
Ndo nini wanifanyia!
BS wangu hapa ndo kafika,mguu wake mguu wangu kokote tuendako.
Hutumii kitendea kazi?Nafurahi kuona waume wenza mnapendana hivi.
Mtoto wenu anaendelea vizuri.
Juzi alikuwa kwa Chimbuvu, jana alishinda kwa Ben Saanane, leo yupo kwa Chilli, kesho atakuwa kwako na keshokutwa atashinda kwa tedo.
Mie pia sijambo,ila nahisi nina :mimba: ingine.
we ulikua hujui kua umeingia kwny mitala?mpo wengi!
Ndio hivyo,wewe hapo unaziba pengo la Ruttashobolwa baada ya mitala kumshinda,sasa hivi nampa bata tu! Baba V anajua kila kitu!
Hutumii kitendea kazi?
Haswaaa!
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani !
Siwezi kula pipi na ganda lake mimi.
Au kuoga umejifunika mwavuli?????? Chichiem oyeeeeeeee
Yaani Madame B ndugu yangu Ruttashobolwa unamgeuza msukule hivi hivi naangalia,sikubali nakwenda Kipatimo,kama ben sa tisa sijamgeuza paji la uso liangalie nyuma.
Ben Saanane hapa amefika.
Nampa kila alitakalo.
rabeka
I love you!
Kama.....?????