KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

Hata na wewe pia ?


Mwambie wewe, mi natamani nimbutue tu, zamu yake kulia njegele huyu.., alinitukana mimi na kamati zote kipindi kile, didn't know that she was a schemer.....!!!
 
Nipo kikaoni mamaa,naona akili haitulii kwenye kikao...nataka nimalize kuongea nisepe zangu.khaa!

Mwe!!!
Jamani,hebu wamalize.
Maana leo nimetoka job mapemaaa, maana nimelimisi Joto lako,
dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…