Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Niliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,
Bado iko mjini lakini washa secure eneo zaidi ya hekari 50 walisema wataanza ujenzi mwaka huu chini ya awamu ya 3 ya mradi wa strategic cities project
 
Wana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wale mnaoponda Mbeya siku ikija anza kujengwa mtashangaa itakavyopendeza maana kutakuwa na mambo mapya
 
Hata wale mnaoponda Mbeya siku ikija anza kujengwa mtashangaa itakavyopendeza maana kutakuwa na mambo mapya
tayari washajenga nanenane yani mbeya ukweli usemwe pako kama pana sahaulika na pia vijana wakishakua kidogo wanakimbilia miji mingine unakuta hata uwekezaji huku ni mdogo tu sio wa kutisha japo panajengeka ila bado mbeya kwenye majengo na barabara wanachelewa na nnaongea ivo maana nimekaa mbeya huu mwaka wa tatu sioni progress za kushtua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa zao tu zinawafanya waje... Huku mtaani kuna wakenya wengi kweli wanatafuta shule mpyampya wapeleke pua zao...
mmeshindwa kuwapeleka ombaomba wenu wamejaa miji yetu……Tanzania's best export
 
Mwanza imeizidi Kisumu cbd tuu na population kubwa lakini kimapato,miundombinu,mavyuo,viwanda,estates and housing imepigwa sana huu ni ukweli
Nakubaliana nawe kwamba Mwanza haijaishinda Arusha kwa kitu chochote cha maana even Dodoma is outshining Mwanza
Duh... But always actions speak louder than words... Bring the pics
 
Hata estates, housing na scenary etc naipa Arusha points zaidi ya Mwanza..fishchoma haaaaa
hahah mwezi wa tisa nilikuwa arusha yani ni kwamba kila mtu ananunua kiwanja kwa estate dealers na wapo wengi mnoo yani arusha na dar estate dealers ni wengi mnoo jambo linalopelekea arusha kubaki na unplanned settlement zile zile za miaka nenda rudi haziongezeki hata morombo yenyewe n sub hurb kubwa arusha nazani ila imepangika kila mtu anabarabra ya kuingiza gari kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye

Hata kwenye mzunguko wa pesa,viwanda,u busy,ma vyuo na ustaarabu wa mji Arusha iko mbele sana ya Mwanza,Dar tu ndio mshindani
Mwanza ligi zake ni Dodoma na Mbeya ndio wanafanana kwa sifa nyingi
kwenye mzunguko wa pesa hapana mwanza inamzunguko mkubwa ila pia ina watu wengiiiiiii ambao uwiano wao na mzunguko unajikuta ni kama vile hamna hela ila arusha mzunguko wa pesa vs uwiano wa watu unakuja kukuta watu wana purchase power kubwa ukiingia nbs gdp per capital ya arusha ni kubwa third after kilimanjaro and dar kwenye viwanda hapo kweli vipo vingi tena zoned kama ungalimited ,themi ,kisongo na kuna mpya ya terrat na wp sikumbuki jina na zote zina viwanda vikubwa sisani kama mwanza kuna kiwanda unaweza linganisha na AtoZ ya arusha hata vyuo arusha ni second to dar i guess

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... But always actions speak louder than words... Bring the pics
brother umeyumba sasa kwa mfano viwanda na mzunguko na estates dealers unapigaje picha ila tufanye tushindanishe estates dealers wa mwanza na arusha kwa idadi mention urs n i will mention mine ambazo ukiingia hata google utazikuta estates delaers nazani unajua ni wauzaji wa viwanja na apartment ila nataka za private

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ije kivipi Moro haiwezi kuipita Arusha sema itapata advantage ya miundombinu mizuri kwa vile iko katikati ya Dar na Dom
4 lanes dual carriage kutoka Dom-Moro-Dar itaipendezesha Moro na kuifanya busy plus SGR .Kifupi Moro iyakuwa ni moja ya junction town iliyo busy sana kwa sababau ya kupitiwa na Tanzam road na kuwa kati ya miji mikuu ya Tzn
Ila usisahau pia kuwa dualling of Arusha-Moshi-Horiri/Taveta highway is on pipeline
moro kupita arusha hii ni ndoto hata moro kuipita mbeya ni ishu maana arusha sa hv 10+ building zinajengwa na watu binafsi haraka mno barabara after 3 years zitakuwa zinapanuliwa kutokana na foleni mark my words arusha itakuja kuwa one of best EA and Africa city ukichangia arusha ni famous almost zaidi ya miji mengine tz kwa nje ya nchi hii utaona tuu ukiangalia population ya watalii iliyoko arusha ni kubwa ila kila mji unafanya progress zake za ukuaji ila mbeya ikumbukwe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae unataka kuwa mshamba sasa, Arusha iko nyumba ya Mwanza tena mbali tu na nina kuhakikishia by 25 Arusha itakuwa nyuma ya Dodoma pia
mkuu dodoma kupita arusha hata kuipita mwanza n ndoto siku nikipata muda ntakuelezea ila kisa mtoto wa miaka 12 anakua haraka haimaanishi atampita mtu mzima wa miaka 35

Sent using Jamii Forums mobile app
 
brother umeyumba sasa kwa mfano viwanda na mzunguko na estates dealers unapigaje picha ila tufanye tushindanishe estates dealers wa mwanza na arusha kwa idadi mention urs n i will mention mine ambazo ukiingia hata google utazikuta estates delaers nazani unajua ni wauzaji wa viwanja na apartment ila nataka za private

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kuna estates huko
 
Back
Top Bottom