ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Bado iko mjini lakini washa secure eneo zaidi ya hekari 50 walisema wataanza ujenzi mwaka huu chini ya awamu ya 3 ya mradi wa strategic cities projectNiliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,