Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kituo kipo ilipokuwa stand ya mabasi kisutu kwa sasa ni soko karibu na mtendeniMwenye taarifa za huyo mpita njia yu hai au amekufa atujuze maana nawa ambia watu hapa kua taarifa ya polisi imeonyesha hakuna Kifo.....
Mm nikiangalia tukio naona kama jamaa Ali escape Kwa kurukia ndani ya jengo la mwendokasi ndani
mchango bora sana kwenye huu uzi, wengi walimlaumu dereva kuwa kalewa.Hii njia mi naona dereva labda alikua anajaribu kukwepa kitu Kama sio mtu basi Gari, haiwezekani uniambie dereva asubuh yote hii kalewa mleta habari hapa umebuni tu.
Ungesema uenda labda bado anawenge la usingizi wa asubuhi hapo sawa atleast kidogo ungeeleweka... alafu we mwenyw ulikua unapita na mwendokasi ukapiga picha ulijuaje kama dereva kalewa!!?
Jamaa alifanya hesabu mbili kwa wakati mmoja alianza kidogo kwenda kulia akaghairi akaenda kushoto ambao balaa ndio lilikuwa kubwa zaidi.Mzee aliyegongwa sijui kama atakuwa hai...
Impact yote ya ajali ni kama imemuelekea yeye...
MzimaMwenye taarifa za huyo mpita njia yu hai au amekufa atujuze maana nawa ambia watu hapa kua taarifa ya polisi imeonyesha hakuna Kifo.....
Mm nikiangalia tukio naona kama jamaa Ali escape Kwa kurukia ndani ya jengo la mwendokasi ndani
Nimeiona mkuu, kwakweli yule mwenye RAV4 ameingia kwenye makutano kwa Speed bila kuangalia usalama kwanza.Angalia video apo juu mkuu nani mwenye makosa
We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyejeSijui nini hasa madereva wa mwendokasi wanafundishwa ama aminishwa maana huwa wana kiburi kikubwa mno barabarani.
Wakiwa barabarani hawana tofauti na madereva wa STK pamoja na madereva wa Yapi Merkezi.
HAHAHA! Nenda Sweden na U.k ukaone madereva wa usafiri wa umma ni watu gani.Binafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamke
Ndo wale anaona bus Lina overtake yeye anaachia steling anafunga macho na mkono, hawana maamuzi ya haraka hawawezi kujiongeza labda kujiongeza kwenye mabwana wenye hela.
Mkuu Tanzania nimekaa udereva wa Tanzania naujuaHAHAHA! Nenda Sweden na U.k ukaone madereva wa usafiri wa umma ni watu gani.
So ikiwa Ni haki yako ndo upite tu ? Bongo madere wengi Ni mchwara Mimi kwenye intersection mwendo unarudi 10kph siwezi amini hata Kama Ni haki yanguWe ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
Ungepost mods wangefuta , me niliota ndege ya precision kuua watu wote on board Uzi ukafutwa na Ni ndotoDuh Jana usiku nimeota ajali ya mwendokasi
Jamaa anavuka mwendokasi inakuja keshafika katikati ya barabara nkamwambia vuka haraka kumbe upande wa pili kukawa na mwendokasi nyingine inaovertake akagongwa kwa pembeni akaanguka ila hakufa,
leo naingia jf nakutana na hii habari mpaka nmeanza kujiogopa
Umenikumbusha sekela wa pale na kachumbari yao, tamu hiyoPia jioni watu hutumia viambaza hivyo kwa dinning out. Wazee wa mutton, tandoor, sekela, sechwan rice na indian recipes hujazana maeneo hayo kujinafasi
Nimewaambia watu nabishiwa kama popoma😊😊🤓🤓Mzima
Siwezi kupost bado sijajiamini katika hilo japo kuna mengi huwa naota na yanatokea ila ujasiri wa kuisimulia ndoto kama utabiri bado sinaUngepost mods wangefuta , me niliota ndege ya precision kuua watu wote on board Uzi ukafutwa na Ni ndoto
Kuelezea au kusema ulichoota sio utabiri hapo ndo Moderator kina YinYang wanashindwa elewa na hapo ndo unaona binadamu tulivo tofauti kufikiri ila wao ndo wanaona kuwa mtu katabiri,😁😁wengine hakuna siku tusiyootaSiwezi kupost bado sijajiamini katika hilo japo kuna mengi huwa naota na yanatokea ila ujasiri wa kuisimulia ndoto kama utabiri bado sina
Wakipewa Training ya kutosha na ya muda mrefu naamini wataweza. Usiwadhoofishe kiasi hicho afsa 😊Mkuu Tanzania nimekaa udereva wa Tanzania naujua
Mwanamke huko labda wanaweza sababu nasheria Kali na labda hakuna waendesha ovyo
Wanawake bongo and Africa kwa ujumla hawawezi uendeshaji wa Africa
Basi za mikoani au Lori wakiwa na haraka anaweza toa ( ku overtake) ikimtaka dere was gari ndogo anaekuja ajiongeze I swear nakwambia hawawezi Wala huwa hawajui Cha kufanya mbele ya gari kubwa mwanaume akiwa kwenye usukan mnaeza okoka ila sio mwanamke
Hata wanaume ambao huwa hawaendeshi high way muda mwngi hawawezi hio situation ndo Mana ajali nyingi mwsho wa mwaka private cars wakijarbu kwenda route ndefu wakati washazoea route za town
Mwanamke anaeweza niendesha Ni anae shiriki rally tu