Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Mwenye taarifa za huyo mpita njia yu hai au amekufa atujuze maana nawa ambia watu hapa kua taarifa ya polisi imeonyesha hakuna Kifo.....

Mm nikiangalia tukio naona kama jamaa Ali escape Kwa kurukia ndani ya jengo la mwendokasi ndani
Kituo kipo ilipokuwa stand ya mabasi kisutu kwa sasa ni soko karibu na mtendeni
 
Hii njia mi naona dereva labda alikua anajaribu kukwepa kitu Kama sio mtu basi Gari, haiwezekani uniambie dereva asubuh yote hii kalewa mleta habari hapa umebuni tu.

Ungesema uenda labda bado anawenge la usingizi wa asubuhi hapo sawa atleast kidogo ungeeleweka... alafu we mwenyw ulikua unapita na mwendokasi ukapiga picha ulijuaje kama dereva kalewa!!?
mchango bora sana kwenye huu uzi, wengi walimlaumu dereva kuwa kalewa.
 
Duh Jana usiku nimeota ajali ya mwendokasi
Jamaa anavuka mwendokasi inakuja keshafika katikati ya barabara nkamwambia vuka haraka kumbe upande wa pili kukawa na mwendokasi nyingine inaovertake akagongwa kwa pembeni akaanguka ila hakufa,
leo naingia jf nakutana na hii habari mpaka nmeanza kujiogopa
 
Msimlaumu dereva wa mwendo kasi, gari ndogo imeingia ghafla kwenye njia ya mwendokasi na alipojaribu kumkwepa hakufanikiwa akamgonga na basi kwenda kuparamia mtu aliyekuwa anatembea na majengo. Kuna video ipo.
 
Sijui nini hasa madereva wa mwendokasi wanafundishwa ama aminishwa maana huwa wana kiburi kikubwa mno barabarani.

Wakiwa barabarani hawana tofauti na madereva wa STK pamoja na madereva wa Yapi Merkezi.
We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
 
Binafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamke

Ndo wale anaona bus Lina overtake yeye anaachia steling anafunga macho na mkono, hawana maamuzi ya haraka hawawezi kujiongeza labda kujiongeza kwenye mabwana wenye hela.
HAHAHA! Nenda Sweden na U.k ukaone madereva wa usafiri wa umma ni watu gani.
 
HAHAHA! Nenda Sweden na U.k ukaone madereva wa usafiri wa umma ni watu gani.
Mkuu Tanzania nimekaa udereva wa Tanzania naujua

Mwanamke huko labda wanaweza sababu nasheria Kali na labda hakuna waendesha ovyo

Wanawake bongo and Africa kwa ujumla hawawezi uendeshaji wa Africa

Basi za mikoani au Lori wakiwa na haraka anaweza toa ( ku overtake) ikimtaka dere was gari ndogo anaekuja ajiongeze I swear nakwambia hawawezi Wala huwa hawajui Cha kufanya mbele ya gari kubwa mwanaume akiwa kwenye usukan mnaeza okoka ila sio mwanamke

Hata wanaume ambao huwa hawaendeshi high way muda mwngi hawawezi hio situation ndo Mana ajali nyingi mwsho wa mwaka private cars wakijarbu kwenda route ndefu wakati washazoea route za town

Mwanamke anaeweza niendesha Ni anae shiriki rally tu
 
Duh Jana usiku nimeota ajali ya mwendokasi
Jamaa anavuka mwendokasi inakuja keshafika katikati ya barabara nkamwambia vuka haraka kumbe upande wa pili kukawa na mwendokasi nyingine inaovertake akagongwa kwa pembeni akaanguka ila hakufa,
leo naingia jf nakutana na hii habari mpaka nmeanza kujiogopa
Ungepost mods wangefuta , me niliota ndege ya precision kuua watu wote on board Uzi ukafutwa na Ni ndoto
 
Pia jioni watu hutumia viambaza hivyo kwa dinning out. Wazee wa mutton, tandoor, sekela, sechwan rice na indian recipes hujazana maeneo hayo kujinafasi
Umenikumbusha sekela wa pale na kachumbari yao, tamu hiyo
 
Siwezi kupost bado sijajiamini katika hilo japo kuna mengi huwa naota na yanatokea ila ujasiri wa kuisimulia ndoto kama utabiri bado sina
Kuelezea au kusema ulichoota sio utabiri hapo ndo Moderator kina YinYang wanashindwa elewa na hapo ndo unaona binadamu tulivo tofauti kufikiri ila wao ndo wanaona kuwa mtu katabiri,😁😁wengine hakuna siku tusiyoota

Kusema ulichoota sio utabiri na utabiri sio Hadi uote Ni umeamua tu kusema kwa watu
 
Mkuu Tanzania nimekaa udereva wa Tanzania naujua

Mwanamke huko labda wanaweza sababu nasheria Kali na labda hakuna waendesha ovyo

Wanawake bongo and Africa kwa ujumla hawawezi uendeshaji wa Africa

Basi za mikoani au Lori wakiwa na haraka anaweza toa ( ku overtake) ikimtaka dere was gari ndogo anaekuja ajiongeze I swear nakwambia hawawezi Wala huwa hawajui Cha kufanya mbele ya gari kubwa mwanaume akiwa kwenye usukan mnaeza okoka ila sio mwanamke

Hata wanaume ambao huwa hawaendeshi high way muda mwngi hawawezi hio situation ndo Mana ajali nyingi mwsho wa mwaka private cars wakijarbu kwenda route ndefu wakati washazoea route za town

Mwanamke anaeweza niendesha Ni anae shiriki rally tu
Wakipewa Training ya kutosha na ya muda mrefu naamini wataweza. Usiwadhoofishe kiasi hicho afsa 😊
Hata Rais mlisema hataweza.. mbona anachochora tu?! Na madudu hata wanaume wenzetu walifanya yaleyale tu yanayofanana
 
Back
Top Bottom